Nani aolewe?

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!


Ushauri wako ni muhimu sana!
 
Oa kikojozi halafu andaa bajeti ya pampasi. Tatizo lake litakuwa ni siri yako ya ndani, lakini hao wengine matatizo yao hayafichiki.
 
Oa kikojozi halafu andaa bajeti ya pampasi. Tatizo lake litakuwa ni siri yako ya ndani, lakini hao wengine matatizo yao hayafichiki.
Vipi tukipata dharura tukalala Hotelini au tukasafiri na kuwa wageni wa jamaa au rafiki wa karibu tukalala huko au yeye akapata dharura na kwenda kulala kwa ndugu au jamaa/rafiki inakuwaje sasa? huoni hiyo wasiwasi itanisababishia madhara kisaikolojia na kupunguza radha ya ndoa?
 
hapo hamna unayempenda hata mmoja, ungependa kutoka moyoni usingeuliza, ukimpenda mtu kama ana tatizo unamsaidia kutafuta ufumbuzi ili uendelee kuwa nae. so acha kuwapotezea muda. by the way, tatizo la kukojoa kitandani linatibika, acha kuwa mbinafsi mtafutie ufumbuzi wa hilo tatizo.
 


Kwani wewe Ukoje? tujue kwanza ulivyo tutakushauri nani atakufaa
 
Naomba tabibu wa tatizo hilo anapatikana wapi? tumetumia gharama sana lakini bado hadi naogopa kuibiwa tena pesa!
Hata yeye tu akijua si mtu wa shida na si yeye tu hata wachangiaji wengine wana tatizo hilo wasaidie! Ndio maana nikasema kila mtu anafaida kwangu nayo ipenda ila tatizo ni changamoto hizo!
 

acha uongo yaani demu ulimenda uje kumtangaza hapa jamvini hizi stori za shigonga hizi sio kabisa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…