Marehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.
ZunguCCM hawaitakii mema nchi, haina thamani kwao, hawajali nani wanampa uongozi, ii mradi matumbo yao. Mungu awapinge katika maovu yao dhidi ya taifa letu!.
Mtu hawezi kufanya uongozi, nje ya jinsi alivyo, ndiyo sababu tunataka katiba iwalazimishe wale wanaojipenyeza bila sifa. Katiba mahususi itawafanya wa behave hata kama hawataki.
HII ILIYOPO HII, NDIYO YENYE HII NAMNA NA NDIYO INATUFANYA HIVI. CCM ni watu wasiokuwa na morals hata chembe!.
YANAYOTOKEA YAWE FUNDISHO KWA WENYE KUPENDA WATOTO WAO NA VIZAZI VYAO ILI TUUNGANE KINYUME CHA HILI ZIMWI CCM.
sio mwingine ni ndugu john andrea chenge , mseminari mzoefu, wakili msomi, mcheshi , mwenye maono na asiyetishwa na loloteMarehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.
Kwani si walisema ndugai anafaa kuliongoza bunge vipi tena upepo umebadilika?Marehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.
Wangempa Ally kessy tuuu akate mizizi ya fitnaMarehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.
Kwani mimi nimesema watu wanyongwe mkuuWangempa Ally kessy tuuu akate mizizi ya fitna