Nani Anayetoaga Haya Majina Ya Vimbunga?

Nani Anayetoaga Haya Majina Ya Vimbunga?

Huyo Kijazi huko TMA hana tofauti na Dr. MALECELA aliyetutia hoffu kuwa Tanzania kuna Ugonjwa wa ZIKKA.
Huko TMA wajitazame sana zama hizi sio za kutangaza maaamuzi kama hayo kwa ramli, usumbufu, hofu, Hasara vilivyopatikana ni hasara sana kwa Taifa.
 
Kwa majina yanayofaa kwa kuvipa vimbunga labda ya huko kwa kina Rutashobya..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majina yameshaandaliwa hadi kuzidi mwaka 2022

Ipo kanuni ya kutoa jina kutegemeana na uzito wa kimbunga na kanda ya bahari iliopo.

Kijacho huenda kikaitwa lorna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimbunga Mariam Biriani nasikia kinavuma kwa kasi ya km 200 kwa saa maeneo ya Tabata Kinyerezi, nasikia kinaezua tu nyumba za watu huko ni hatari.

Kama kuna mtu yuko huko Tabata atupatie updates nini kinaendelea na madhara gani kimbunga Mariam Biriani kimesababisha hadi sasa.

Kwako Mwl. Kashasha.
 
Kwa majina yanayofaa kwa kuvipa vimbunga labda ya huko kwa kina Rutashobya..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbunga Rumanyika kinatarajia kupita maeneo ya Kashozi kuelekea maeneo ya Katelelo kwa km 165 kwa saa.
 
Back
Top Bottom