Nani anayesikiliza clouds Njia panda ya leo?

shikolo

Member
Joined
Apr 18, 2012
Messages
72
Points
0

shikolo

Member
Joined Apr 18, 2012
72 0
E bwana hii story ya sarah imenistua sana,kwa aliyefatilia vizuri ebu tujuzeni nimeikuta katikati.
Wanaume watatu wote wameambiwa mimba aliyonayo Sara ni yao na wanaamini hivyo baadae kawageuka wawili na kumnga'ng'ania mmoja ambae ametoa mahali nadhani na gharama za kutosha :hii ndio dunia zaidi ya uijuavyo
 
King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,509
Points
2,000

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,509 2,000
Wanaume watatu wote wameambiwa mimba aliyonayo Sara ni yao na wanaamini hivyo baadae kawageuka wawili na kumnga'ng'ania mmoja ambae ametoa mahali nadhani na gharama za kutosha :hii ndio dunia zaidi ya uijuavyo
Da Thanks kwa info basi huyo sarah ni mtu wa hatari sana na inaonekana ameenda shule maana nimemsikia anasema amemaliza UDSM,sasa huyo ndio msomi je hawa wenzangu na mimi shule hamna inakuwaje?
 
Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
52,980
Points
2,000

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
52,980 2,000
Da Thanks kwa info basi huyo sarah ni mtu wa hatari sana na inaonekana ameenda shule maana nimemsikia anasema amemaliza UDSM,sasa huyo ndio msomi je hawa wenzangu na mimi shule hamna inakuwaje?
bora ukutane na mtu asiyekuwa na elimu kuliko aliye na elimu maana wenye elimu hawaishi viloja...
 
Forum statistics

Threads 1,389,291
Members 527,879
Posts 34,022,221
Top