St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,639
- 4,527
WanaJF naomba tu niwaulize swali hili,maana siku hizi kila kukicha tunaona post za ajabu na vile vile kuna zile zilizokwenda shule,na ili watu wajitathmini naomba tu wewe msomaji utakayepitia hapa ujaribu kuandika majina japo mawili matatu ya wale wanaokuvutia kwa post zao na sio mbaya ukatoa na sababu ni kivipi wanakuvutia ila sio lazima na kama kuna anayekukera naye sio mbaya ukimuandika ili members tujitathmini na tujielewe tunavyoonekana katika jukwaa hili.Na kwa kuanza mimi huwa navutiwa sana na post za Dark City aka babu na bibie Afrodenzi bila kumsahau mtani wangu LoyalTzCitizen.Naomba kuwakilisha ,ni mimi Paka Mweusi
Mhhhhhh PM,
Ngoja kwanza babu ajipumzishe na kiko chake......Hata hivyo nashukuru kwa kutupatia lishe ya nyoyo zetu asubuhi hii.
JF idumu milele zaidi ya fikra sahihi za Mwenyekiti.....!!!
DC
Mhhhhhh PM,
Ngoja kwanza babu ajipumzishe na kiko chake......Hata hivyo nashukuru kwa kutupatia lishe ya nyoyo zetu asubuhi hii.
JF idumu milele zaidi ya fikra sahihi za Mwenyekiti.....!!!
DC
malaria sugu
Mh paka!!!!!! kwa upande wangu wanaonivutia kwa post zao wanajijua bila hata kuwataja ila kuhusu kukerwa mi sidhani kuna haja ya kukereka na keyboard kwa upande wangu hasa kwenye sredi zinazokera hata kuingia huwa siingii naishia juu tu, hata hivyo kila mtu ana uhuru wa kupost anachojisikia inawezekana anaenikera mimi anamfurahisha mwingine kwa hiyo huwa naenda kunakonifurahisha na kutimiza azma yangu ya kuingia JF, just to have fun hakuna kingine
Pumzika babu na naomba leo kiko kikuburudishe zaidi ya siku zote, lakini hujasema nani huwa anakuburudisha na nani huwa anakukera,ila kwa upande wangu huwa nakereka na wote wanaotoa lugha zisizofaa.
Mi navutiwa sana na Rev Masanilo( sijui amesharudi toka vacation?) ila nitamfuata before christmas alipo.
kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.Kuvutia ni relative word. Hususani ukizingatia kuna sub-forums nyingi ndani ya JF. So ungeweka wazi maana ya kuvutia na katika jukwaa lipi!.
kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.
mimi nyandaigobeko ndio navutiwa na post zake
roselyne1klorokwini na buji buji....:teeth: