Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,589
4,423
WanaJF naomba tu niwaulize swali hili,maana siku hizi kila kukicha tunaona post za ajabu na vile vile kuna zile zilizokwenda shule,na ili watu wajitathmini naomba tu wewe msomaji utakayepitia hapa ujaribu kuandika majina japo mawili matatu ya wale wanaokuvutia kwa post zao na sio mbaya ukatoa na sababu ni kivipi wanakuvutia ila sio lazima na kama kuna anayekukera naye sio mbaya ukimuandika ili members tujitathmini na tujielewe tunavyoonekana katika jukwaa hili.Na kwa kuanza mimi huwa navutiwa sana na post za Dark City aka babu na bibie Afrodenzi bila kumsahau mtani wangu LoyalTzCitizen.Naomba kuwakilisha ,ni mimi Paka Mweusi
 
Mhhhhhh PM,

Ngoja kwanza babu ajipumzishe na kiko chake......Hata hivyo nashukuru kwa kutupatia lishe ya nyoyo zetu asubuhi hii.

JF idumu milele zaidi ya fikra sahihi za Mwenyekiti.....!!!

DC
 
Mh paka!!!!!! kwa upande wangu wanaonivutia kwa post zao wanajijua bila hata kuwataja ila kuhusu kukerwa mi sidhani kuna haja ya kukereka na keyboard kwa upande wangu hasa kwenye sredi zinazokera hata kuingia huwa siingii naishia juu tu, hata hivyo kila mtu ana uhuru wa kupost anachojisikia inawezekana anaenikera mimi anamfurahisha mwingine kwa hiyo huwa naenda kunakonifurahisha na kutimiza azma yangu ya kuingia JF, just to have fun hakuna kingine
 
Pumzika babu na naomba leo kiko kikuburudishe zaidi ya siku zote, lakini hujasema nani huwa anakuburudisha na nani huwa anakukera,ila kwa upande wangu huwa nakereka na wote wanaotoa lugha zisizofaa.
 
Yaani wewe mjukuu ni kichwa...Ni zaidi ya mtambo wa gongo!!! Sisemi kitu zaidi ya hayo!

Pumzika babu na naomba leo kiko kikuburudishe zaidi ya siku zote, lakini hujasema nani huwa anakuburudisha na nani huwa anakukera,ila kwa upande wangu huwa nakereka na wote wanaotoa lugha zisizofaa.

Umeona PM....Mzazi (Babu, Bibi, Baba & Mama) hang'atwi na mbwa koko. Yaani mjukuu wangu kanijibia kila kitu.

Mimi nawafurahia sana wajukuu zangu wote, wazee wenzangu wote (ingawa wengine wameingia mitini..yuko wapi Nyamayao?) na wadogo zangu pia. Ndio maana JF ni zaidi ya sebure yangu! Siwezi kuishi bila kupita ingawa haijafikia my bed room!

Wanaokukera achana nao, kwanza wanakupunguzia muda wa kuishi na endapo unapoteza muda wako kuwafuatilia!
 
Mi nafurahishwa zaidi na post zako,wakati mwingine zinachekesha wakati mwingine zinavutia na kuniudhi vilevile.
 
aaaaah mimi namzimia sana kamanda wangu aliyeko likizoni MGANYIZI...salute kwako
 
Mi post znagu ziko juu sana, kwa nini nisijisifie mpaka mtu mwingine anisifu, naamini hivyo natumai wanaJF wenzangu mtaniunga mkono kuwa nami si haba kwa kupost vitu vikali hasa nikitokea mikoani. Viva JF, Viva wanaJF.WAPENDWA Merry X-Mass and Happy new year.
 
Mi navutiwa sana na Rev Masanilo( sijui amesharudi toka vacation?) ila nitamfuata before christmas alipo.
 
Kuvutia ni relative word. Hususani ukizingatia kuna sub-forums nyingi ndani ya JF. So ungeweka wazi maana ya kuvutia na katika jukwaa lipi! Kama ni kwa sub-forums zote,inakua impossible kwa 7bu kuna wanaondika vyema kwny jukwaa la siasa,ila wanaandika pumba kwny jukwaa la mapenzi. Kuna wanaondika vyema kwny jukwaa la matani (a.k.a mamelo) lakini wanaandika upupu kwny jukwaa la siasa. So mkubwa jaribu kufafanua ili hii opinion poll yako iwe imesimama na yenye mashiko.
 
Mi navutiwa sana na Rev Masanilo( sijui amesharudi toka vacation?) ila nitamfuata before christmas alipo.

Hahahaahh Mkuu unafatilia kumbe! Nimeisharejea mkuu nagawa zawadi kwenda mbele.

Thank for your compliment

Masa K
 
Kuvutia ni relative word. Hususani ukizingatia kuna sub-forums nyingi ndani ya JF. So ungeweka wazi maana ya kuvutia na katika jukwaa lipi!.
kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.

mimi nyandaigobeko ndio navutiwa na post zake
 
Nilitaka kumjibu lakini nashukuru umeniwakilisha na thanks nimekugongea maana nili maanisha jukwaa hili tulilopo sasa.
 
navutiwa na wote kila mtu kwa namna yake.kuna ambao nikitaka kuchukia inabidi nisome post zao na wengine nikitaka kucheka hivyohivyo.
m2 akiniudhi nikitaka kumpa kichapo naenda kutafuta za malaria sugu.
hongereni kwa ujumla wenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom