Walioanza kuisoma namba; Viongozi wazembe waliopewa vyeo pasipo weledi na sifa,Wapiga dili hasa ndugu,jamaa na marafiki wa Viongozi ambao tenda kama za Tshirts za Maadhimisho,tracksuit za haraiki,vyakula vya sherehe na maadhimisho,PA za sherehe husika,Posho za Vikundi vya burudani,Vyombo vya usafiri,Watu wa Mapambo,Wasanii mbalimbai,Wanufaika na 10%,Wazamiaji wa sherehe hizo,wapambe wa uongo na ukweli n.k!!Nina uhakika hata yule kijana wa Jinga Kubwa aliyejirekodi akibwabwaja pamoja na familia nzima sasa wanaisoma namba kinyumenyume. NB:Wengi watalia na kusaga MENO!!..Ndio kwanza jua limechomoza na ilani za Upinzani ndio zimeshika hatamu!!No kubebana anymore!!