Nani anayeisoma namba kwa sasa?

Nani anayeisoma namba kwa sasa?

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
377
Siku Chache zilizopita mitaani kulikuwa na kelele za nyimbo Wacha Waisome namba eee, nyimbo hizi zilikuwa zinachagiza katika kampeni za chama tawala. Na kweli kwenye uchaguzi CCM imeshinda tutake tusitake. Sasa suala linakuja katika Utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kwa hotuba zake, hapa nani anayeisoma namba kwa sasa? Je ni wapinzani au watendaji wa Serikali ya CCM?

Nawasilisha
 
Wapigaji wa Mabilioni ya Sherehe za Kitaifa, Wanaojenga Mijengo kwa hela ya safari kila siku wanaisoma namba.
 
Siku Chache zilizopita mitaani kulikuwa na kelele za nyimbo Wacha Waisome namba eee, nyimbo hizi zilikuwa zinzchagiza katika kampeni za chama tawala. Na kweli kwenye uchaguzi CCM imeshinda tutaketusitake. Sasa suala linakuja katika Utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kwa hotuba zake, hapa nani anayeisoma namba kwa sasa? Je ni wapinzani au watendaji wa Seikali ya CCM? Nawasilisha.

UKAWA ndio wanaoisoma namba..Raisi wao wa UKAWA kila siku alikuwa anaishi katika ndege na msafara kibao…Upendeleo ulikuwa ndio mfumo wa UKAWA…matusi na dharau zilikuwa ndio tabia yao..Naipongeza CCM kwa kuitoa madarakani serikali dhalimu ya UKAWA…Viva CCM
 
UKAWA ndio wanaoisoma namba..Raisi wao wa UKAWA kila siku alikuwa anaishi katika ndege na msafara kibao?Upendeleo ulikuwa ndio mfumo wa UKAWA?matusi na dharau zilikuwa ndio tabia yao..Naipongeza CCM kwa kuitoa madarakani serikali dhalimu ya UKAWA?Viva CCM
IQ ni 0
 
Elewa kwanza heading then ucoment ciyo unakurupuka tuu!!
 
Si kwa wizi? msingeiba muone kama mlikuwa hamn'goki mwaka huu shenzi nyie
 
Maficcm ndy Wanaisoma # maana walishazoea kuishi kiuwizi kufuja mali za serikali
Kuongeza masifuri.
Masolex anatumia sera na ilani za ukawa kutekeleza ahadi zake
Viva ukawaa
 
Wanao isoma namba ni wamama wajawazito hosipitalini wagonjwa maana madwawa hamna
 
Tumepata raisi mpinzani ndani ya chama chake. CCM wachache waliokuwa wanafaidi wanaisoma namba!!! Na bado. Wananchi tunafurahi maana raisi anajibu kiu yetu ya muda mrefu. Tunasubiri apunguze PAYE.
Siku Chache zilizopita mitaani kulikuwa na kelele za nyimbo Wacha Waisome namba eee, nyimbo hizi zilikuwa zinachagiza katika kampeni za chama tawala. Na kweli kwenye uchaguzi CCM imeshinda tutake tusitake. Sasa suala linakuja katika Utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kwa hotuba zake, hapa nani anayeisoma namba kwa sasa? Je ni wapinzani au watendaji wa Serikali ya CCM?

Nawasilisha
 
ha ha ha!!! Hili nalo neno!!! Viva magufuli. Mafisiemu wanaisoma namba!!!!! Nampa tano raisi wa ukawa ndani ya ccm!!!! Safi sana raisi.

UKAWA ndio wanaoisoma namba..Raisi wao wa UKAWA kila siku alikuwa anaishi katika ndege na msafara kibao…Upendeleo ulikuwa ndio mfumo wa UKAWA…matusi na dharau zilikuwa ndio tabia yao..Naipongeza CCM kwa kuitoa madarakani serikali dhalimu ya UKAWA…Viva CCM
 
sijawasikia akina kinana muda mrefu.where ur they?
 
jamaa wanajuuuuuuta kumpigia JPM kampeni, maana wanaisoma namba kisawa sawa
 
Back
Top Bottom