Aisee nikikosa hii utakuwa umenionea. Sasa nachambua sentensi yako
Kuna nafsi nne, kuna wewe, mjomba wako, mdogo wake mjomba wako(mwanamke) na mume wa mdogo wake mjomba wako(marehemu).
Aksante kwa kujaribu mkuu!!.
Ha haa hapo katika familia za waswahili hakuna tawi la familia aina hiyo hivyo huyo ni baba mdogo au mkubwa na si vinginevyo..uncle ni muundo wa familia za kingereza.
Atakuwa baba yako
Atakua Jirani yako...
Bac atakuwa mjomba wako mttoto wa dada yake.
hahaha nimecheka sana.haya maswali ya kwenye promotion .......
haya maswali ya kwenye promotion .......
Nikujibu kwa lugha gani kaswali kako ...