Challenge ya kukuna nazi baada ya nyimbo ya mondi kutoka alishindaga yule mzee anakuna nazi huku kaegemea sofa. Sidhan kwa mkuno ule pale sofani kama itashindikn kupatikana nyuzi kama hizoNahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi.
Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na nitainunua kwake
View attachment 3506455View attachment 3506456View attachment 3506457
Oya una mchongo mwengine wa mabango ya Yas upige watu?Challenge ya kukuna nazi baada ya nyimbo ya mondi kutoka alishindaga yule mzee anakuna nazi huku kaegemea sofa. Sidhan kwa mkuno ule pale sofani kama itashindikn kupatikana nyuzi kama hizo
Wana jf siwqpi michongo, hela wamezulumiana wao kwa wao wanakuja kunidai mm. Ina mana mm ndo bosi wao?Oya una mchongo mwengine wa mabango ya Yas upige watu?
HIZo machine zimajaa mjini, acha uvivuNahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi.
Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na nitainunua kwake
View attachment 3506455View attachment 3506456View attachment 3506457
Kama bado hujapata, TuwasilianeNahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi.
Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na nitainunua kwake
View attachment 3506455View attachment 3506456View attachment 3506457
Kila la kheri