wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,085
- 809
- Thread starter
- #101
Ni vizuri ungeelezea unavoelewa ww au unavohisi then inakua ni rahisi kukusahihisha na kukuelimisha kuliko kuanza upya darasa.Nafikiri ni Busara kwa wewe kujibu swali na si kuzua swali baada ya kuulizwa swali,
Ningelikua ni wewe ningejitahidi kujibu swali ningeeleza namna inavyofanya kazi kama mwenyewe ulipozungumza kuwa 'tupo hapa kuelimishana'
Tafadhali tueleze inafanyaje kazi?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
We unaelewa nn kuhusu mfumo wa pesa na huelewi nn kuhusu mfumo? Tuanzie hapo.
Kuelewa mfumo wa pesa ni lazima utafute information kwa umakini. Usifate sana information za kwenye academic material. Jaribu kutoka nje ya hapo na utafute material zinazoelezea uhalisia. Pia ni vizuri ukajua basics za biashara kabla ya pesa kuingia. Hapo ndo utakua unajenga msingi mzuri wa kuijua pesa.
Maana nikisema nikuelimishe. Utanilazimu nirudi kwenye history tena. Pia kuna elimu nyingi za uongo zimewekwa kimakusudi kupotosha ukweli. Kwa hiyo ni vema kwanza ufatilie history kwa umakini.


