Nani anaweza kutengeneza Phone App?

Nani anaweza kutengeneza Phone App?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,512
Nimewahi kuona siku za nyuma mtu anajitangaza hapa kuwa anatengeneza application za simu ila nimeshindwa kuupata ule uzi.

Nahitaji hii huduma kwa bei nafuu.
 
Jamani Msaaada jinsi ya kutuma data kutoka kwenye simu kwenda computer
 
Kuna ducument zangu ziko kwenye cm hazitaki kwenda kwenye computer
 
Nitawasiliana na nyie, ila laki tano sina labda kama uko vizuri sana kwenye mambo hayo tunaweza kufanya partnership. Kama kuna na wengine, naomba muendelee kujitokeza.
 
Back
Top Bottom