1411
Member
- Aug 16, 2015
- 89
- 35
Kitu kimoja nilichojifunza kwa ccm ni kwamba imekuwa dhambi kubwa sana tena ya kupaswa kupigwa na mawe hadi kufa ikiwa utaenda kinyume na rais. Mnasahau kwamba yeye ni mwanadamu na anayo mapungufu. Acheni kujitoa ufahamu ilhali ukweli mnaujuaLissu atoe Kwanza undugunaization Chagadema kwanza ndo aje na swaga zake za kipimbi.
Je? waliopewa nafasi hazina na Magufuli si wataalam wa mambo ya fedha?
Hawajakizi vigezo?
Ni nani walistahili nafasi hizo?
Trump nae ni mkabila? Kwa kumpa nafasi mkwewe?
Ndo maana swagga za Tundu Lissu zimepuuzwa na Kila mtanzania mwenye akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app