Nani anaweza kufanya hivi?

Nani anaweza kufanya hivi?

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
1541859_tumblr_matpg7aUWg1rqcu9eo1_400_jpgc004a924cb32d6658e99e3a5230409fd


Huu kama si uchimvi ni kitu gani sasa!
 
Ikifika siku ataingia mwenyewe kwani anajuwa tayari namna ya kuingia.
 
ama kweli kifo sio.mchezo mtu akiona hilo dude anatetemeka kweli hahaha...kuna mzee mmoja hajajaliwa kupata watoto yupo na huyo bibi mke wake akachonga majeneza 2 akasema anajua hata wakifa hakuna wa kuwanunulia maana hawana watoto..tangu 2004 mpaka leo wapo tele kila mwaka anayapaka rangi fresh na.kuyarudisha ndani tulishamzoea na tunaona kawaida..
ila huyo na pozi lake hilo mh..hii ni kutafuta umaarufu
 
Back
Top Bottom