Nani anawadanganya Nsingizin Hotspurs?

Nani anawadanganya Nsingizin Hotspurs?

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,554
Reaction score
10,327
Moja kwa moja kwenye mada

Mara kadhaa nimeona mtandaoni kocha na wachezaji wa Nsingizin wakisema eti wanajua Simba atajiangusha na kujilaza sana pale kwa mkapa ili kupoteza muda pale kwa mkapa.

Sasa najiuliza, nani anaewadanganya hawa ndugu zetu kuwa Simba anacheza kwa kujiangusha??

Au ndugu zetu hawana video analysist!?

Wakati huo huo, kwenye uwanja wa mazoezi, kocha wa simba, mtalaamu Pantev anasisitiza ONE TOUCH, PASS THE BALL.

Hawa jamaa wasije wwkatapika damu wakatuchafulia uwanja wetu.

Na kocha alishasema, kule ugenini tulipata matokeo mazuri, lakini hakufurahishwa na kiwango cha uchezaji wa timu yake.

Uzi tayari
 
Tutawala kiboga hawa Nsingizin Hotspurs kiasi cha kushindwa kutoka usingizini mazima.

We subiri tu!
 
Wale wenyeji wao ni kama wamewatelekekeza kbs hawa. Nyumamwiko, waambieni hao tunapuliziaga dawa sec half 😅😅
 
Nyuma mwiko wamejikausha kama vile huwa hawapokei wageni.

Kweli yamewafika kooni ashukuriwe Foil Folz.
 
Moja kwa moja kwenye mada

Mara kadhaa nimeona mtandaoni kocha na wachezaji wa Nsingizin wakisema eti wanajua Simba atajiangusha na kujilaza sana pale kwa mkapa ili kupoteza muda pale kwa mkapa.

Sasa najiuliza, nani anaewadanganya hawa ndugu zetu kuwa Simba anacheza kwa kujiangusha??

Au ndugu zetu hawana video analysist!?

Wakati huo huo, kwenye uwanja wa mazoezi, kocha wa simba, mtalaamu Pantev anasisitiza ONE TOUCH, PASS THE BALL.

Hawa jamaa wasije wwkatapika damu wakatuchafulia uwanja wetu.

Na kocha alishasema, kule ugenini tulipata matokeo mazuri, lakini hakufurahishwa na kiwango cha uchezaji wa timu yake.

Uzi tayari
Timu yenyewe inaitwa Usingizini, mna hofia nini?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom