Hiyo ndio hali halisi kwa ununuzi wa magari vs Kodi utakayolipa.Nilitaka ninunue Volvo XC 90 baada ya kukuta ni Dola Kama 2,400/= kama 5M ya Kibongo nilipoweka Kwny Calcuator ya TRA nikakuta gharama za kuingiza nchini ni 16 Million. Nimerudisha kisu kwny Ala yake wallah![]()
Hahah aisee,ndio sera za chama chako hicho mkuu.Nilitaka ninunue Volvo XC 90 baada ya kukuta ni Dola Kama 2,400/= kama 5M ya Kibongo nilipoweka Kwny Calcuator ya TRA nikakuta gharama za kuingiza nchini ni 16 Million. Nimerudisha kisu kwny Ala yake wallah![]()
Ukiagiza gari mpyaa yaani kuanzia mwaka 2014 na kuendelea mbele japo ni jipya hususani mileage utashangaaa mzigo wa kodi utadhani ni chakavu, gusa la mwaka 2000 kurudi nyuma utachoka kodi yake bongo. Hakuna nafuu yoyote kati ya mpya na chakavu. KUMIRIKI GARI BONGO NI ANASA. BORA TUHAMIE TUU JAPAN ILI TUISHI KAMA MALAIKA.Suala la kukwepa kodi lina mizizi yake. Wananchi wangependa walipe kodi, lakini kodi hizi za kukomoana ndio zilifanya bandari ikawa mali ya wajanja wachache. TRA wangecharge gharama ambayo ni affordable, sio hizi za kukomoana.
Kwamba Gari mfano hiyo Subaru bei yake ni Dola ya marekani mojamikasiboy kwenye hiyo subaru, angalia CIF itakuwa kiasi gani?
Hapo utaweza jua freight charges and insurance hadi gari inakufikia Bandarini Tz,
Ndipo linganisha hizo ghalama za gari na kodi utakayolipia
Mfano
- Gari pichani inauzwa kwa Dola $1 tu
- Ila kulifikisha nchini ni Dola $1,722 ( Shipping + Inspection + insurance)
View attachment 464840
Kibiashara haiko hivyo, Ili uamini tembelea site kama alibaba com kisha angalia bei walizoweka. Ila tambua bei wanazoweka ni za kumvutia mteja na sio gharama halisi utakayolipia.Kama ni hivyo basi tuwaandikie barua mabeberu warudi waendelee kututawala tu, hatujielewi kabisa!
Kabisa wengi tutakutana kituo cha mafuta mkuu. Kodi itaongezekaTRA waangalie upya hii changamoto, wakipunguza kodi watu wakiwa wengi wanaomiliki magari na kodi itaongezeka