Nani anauza gari kati ya TRA na Mjapan?

mikasiboy

Member
Dec 23, 2016
66
26
Hizi bei ndio huwa nachoka

783eb7941483cb4254d058f4b42bc56c.jpg

94009e7e50703c4968dd1b1213fbafac.jpg
 
mikasiboy kwenye hiyo subaru, angalia CIF itakuwa kiasi gani?

Hapo utaweza jua freight charges and insurance hadi gari inakufikia Bandarini Tz,

Ndipo linganisha hizo ghalama za gari na kodi utakayolipia

Mfano
- Gari pichani inauzwa kwa Dola $1 tu
- Ila kulifikisha nchini ni Dola $1,722 ( Shipping + Inspection + insurance)

upload_2017-1-29_11-45-40.png
 
Nilitaka ninunue Volvo XC 90 baada ya kukuta ni Dola Kama 2,400/= kama 5M ya Kibongo nilipoweka Kwny Calcuator ya TRA nikakuta gharama za kuingiza nchini ni 16 Million. Nimerudisha kisu kwny Ala yake wallah
Hiyo ndio hali halisi kwa ununuzi wa magari vs Kodi utakayolipa.

Kuna haja mamlaka husika walitazame upya hili, maana imekuwa ni kilio cha wengi.
 
Kodi ni kubwa sana ndio maana wengi wanakimbilia magari madogo na ya zamani na usalama wake pindi likipata ajali ndogo tuu ni mdogo wakati gari zilizotumika za 2010 mpaka 2015 bei zake za kawaida tuu kuanzia Toyota hilux. d4d, Disco 3,4,Range Rover,Subaru,Mercedes-Benz, Bmw na yanakua na Life span ya muda mrefu mpaka lianze kuja kusumbua lakini kwa kodi hizi tunaagiza gari ya 2000 harafu kutwa kulalamika hizi gari ni mbovu...Serikali punguzeni kodi kidogo kwenye magari sio starehe ni chombo tuu hicho kama vyombo vingine tuu..
 
Suala la kukwepa kodi lina mizizi yake. Wananchi wangependa walipe kodi, lakini kodi hizi za kukomoana ndio zilifanya bandari ikawa mali ya wajanja wachache. TRA wangecharge gharama ambayo ni affordable, sio hizi za kukomoana.
 
Ukiagiza gari mpyaa yaani kuanzia mwaka 2014 na kuendelea mbele japo ni jipya hususani mileage utashangaaa mzigo wa kodi utadhani ni chakavu, gusa la mwaka 2000 kurudi nyuma utachoka kodi yake bongo. Hakuna nafuu yoyote kati ya mpya na chakavu. KUMIRIKI GARI BONGO NI ANASA. BORA TUHAMIE TUU JAPAN ILI TUISHI KAMA MALAIKA.
 
mikasiboy kwenye hiyo subaru, angalia CIF itakuwa kiasi gani?

Hapo utaweza jua freight charges and insurance hadi gari inakufikia Bandarini Tz,

Ndipo linganisha hizo ghalama za gari na kodi utakayolipia

Mfano
  • Gari pichani inauzwa kwa Dola $1 tu
  • Ila kulifikisha nchini ni Dola $1,722 ( Shipping + Inspection + insurance)

View attachment 464840
Kwamba Gari mfano hiyo Subaru bei yake ni Dola ya marekani moja?? Tsh 2,350?? BUKU MBILI? Kwamba mchakato wa kuruhusiwa kulimiliki bongo unazaa MILIONI KUMI NA SITA??

Kwamba ningekuwa na uwezo wa kulinunua kiwandani na kulibeba kimiujiza hadi kijijini kwetu Kabulabula nitawaringia kwa gari niliyonunua kwa BUKU MBILI

Kama ni hivyo basi tuwaandikie barua mabeberu warudi waendelee kututawala tu, hatujielewi kabisa!
 
Kama ni hivyo basi tuwaandikie barua mabeberu warudi waendelee kututawala tu, hatujielewi kabisa!
Kibiashara haiko hivyo, Ili uamini tembelea site kama alibaba com kisha angalia bei walizoweka. Ila tambua bei wanazoweka ni za kumvutia mteja na sio gharama halisi utakayolipia.

Hivi kweli umechukulia kiukweli kabisa kuwa gari inauzwa au itauzwa $1?? Fikiri mara mbili
 
Back
Top Bottom