Wakuu niliamua kwa mara nyingine kujipa kazi ya kufanya "Utafiti" katika maeneo ya "Massage Parlour" katika jiji la Dsm na vitongoji vyake.Raha ya utafiti wa aina hii ni kujivika "uhusika" haswaa ili upate mambo ya ndani ya kujifunza hasa undani wa jambo lenyewe,ama hakika nimejifunza mengi na...