G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Nimeangalia hii habari iliyorushwa na ITV, nimemsikiliza Mh Freeman Mbowe na Mh Chagonja, Mbowe kaongea kwa Confidence sana tena nje ya makao makuu ya jeshi la polisi. Chagonja pia anadai Mbowe anadanganya umma sababu maelezo aliyoyatoa mbele ya polisi ni tofauti na anachokieleza hapa kwenu.
Kilicho nitia shaka ni confidence ya huyu Mh Chagonja, yupo nje ya makao makuu ya polisi akiwa kazungukwa na vijana wake kibao halafu amepoteza uchangamfu na ujasiri, nimelazimika kuamini kwamba huyu Bwana ndiye anayetudanganya na kwamba Mbowe katoa maelezo sawasawa na alichoeleza wanahabari, Mh Mbowe kasema hayo ndio maelezo tuliotoa na tumeandika statement.
Kwa jazba za Chagonja kama ni kweli Mbowe angekuwa amedanganya nje tu ya makao makuu ya polisi asinhemuacha aondoke kwenye viwanja hivyo lazima angeamuru wakamatwe tena. Ama kama ni kweli ninaamini maelezo waliyoyatoa wamerekodiwa na yametolewa kwa maandishi basi watuwekee bayana ili tujue nani anaongopea watanzania.
Hebu tizana hiyo habari hapa chini
https://www.youtube.com/watch?v=h4nXsK5RovA