sondewanjara
Member
- Jun 5, 2013
- 49
- 3
usijisumbue chagonja anaumwa.
mwambieni kama mnaona me ntaufanyia kazi aulete,au apeleke kwa wanaowapa msaada wawape mbinu nyingine mana i ishaisha nguvuAmpe nani sasa, Chagonja ama wewe???
mwambieni kama mnaona me ntaufanyia kazi aulete,au apeleke kwa wanaowapa msaada wawape mbinu nyingine mana i ishaisha nguvu
Kama mbowe ni mkwel apost uo ushahidi tuuone
Uhakika upi mbowe ni mkweli na chagonja ni mwongo?
tupunguze usiasa
........jamaa kaonesha uwezo mdogo sana....lakini alikurupuka mno...si mjanja chagonja....Kwa sababu serikali dhaifu na upuuzi wa CCM..... Kweli tutatafuta cha kufanya
i tink u get it so go n' tel your fellow imbecileUtter Nosense Spoken out of Ignorance
chagonja ni muongo kwani alipoulizwa atacuhkua hatua gani amejikanyaga sana,tena ukitaka kugundua uongo wake mtizame anaongea huku akiangalia pembeni na kupepesa macho waongo na wanafiki ndo walivyo halafu kama ameongea uongo kwa nn hawajamkamata pale pale na walikuwa wanamrecord?ccm kwisha kazi,kwisha habari pia mbowe alikuwa akizungumza na nyuma yake kulikuwa na police,hw much confident the person is?CHADEMA BWANA WAPEWE NCHI HATA ANGALAU MWAKA MMOJA TU!TUTAFIKA MBALI SANA
.....Topei tink u get it so go n' tel your fellow imbecile
husk,....................Tope
husk,...............