mashakaDaima
Member
- May 3, 2013
- 38
- 5
Hiv baada ya sex ni nani ambaye anatakiwa kumshukuru mwenzake kwa tendo. Mi nadhani wote wanatakiwa kushukuru

Mwanamke anatoa pole kwa kazi nzito na mwanaume anaitikia asante kwa utamu alioupata
aiseeeee babaangu mbona makubwa haya mimi huwa nakurupuka 2 baada ya kumaliza natauta shupa ya mbege nakata kiu
Mwanamke anatoa pole kwa kazi nzito na mwanaume anaitikia asante kwa utamu alioupata
Hiv baada ya sex ni nani ambaye anatakiwa kumshukuru mwenzake kwa tendo. Mi nadhani
wote wanatakiwa kushukuru
Hiv baada ya sex ni nani ambaye anatakiwa kumshukuru mwenzake kwa tendo. Mi nadhani wote wanatakiwa kushukuru
Mwanamke anatoa pole kwa kazi nzito na mwanaume anaitikia asante kwa utamu alioupata
Na mimi naomba kuuliza kati ya ME na KE nani anapata utamu/raha zaidi?
Vipi kama amechokozwa yeye?kila mmoja anapaswa kumshkuru mwenzake. na kuhusu swali lilioongezwa kqamba nani atoe pesa mi nafikiri mwanaume ndiye anaypaswa kutoa ksbb yeye ndiye mchokoza mada.