Nani anatakiwa abadilike mimi au mke wangu?

no huyo mwanamke inabidi abadilike kidogo bwana hata kama atashindwa kujiweka update angalau 50/50
kama ulivyosema kipindi kile kiasi mambo hayakuwa fresh na sasa yako Fresh

Na kizuri zaidi unampenda mkeo ..hebu mwambie huyo mkeo aje kwangu nimfundishe kwanza nikianza mavazi nimeshawaambia i love fashion na kwa umri wake kuna fashion zitakazomfanya awe classic

second ..mtizamo na maongezi nitamshauri aachane na magruop ya umbea na abadilishe mtizamo wake
mbona hiyo imetulia sana asijiwekeweke nyuma mwisho ujiopolee kipima joto kingine ;)
 
Umenikumbusha ka serengeti binamu. lol! Hatujawaacha wake zetu nyumbani, wao ndio wameamua kujiacha nyumbani. Wana miguu, sura nzuri, fedha na kila kitu. Wanabweteka, wanajiachia na kujisahau. Kama huyo anayebembelezwa lakini anagoma, ulitaka achapwe bakora? Acheni hizo bana.

Umekubali mwenyewe kuwa wake zenu ni wazuri,sasa hizo alternative za nini na wakati mkeo amekolea kila idara? Acheni hizi habari,kama unaona anabweteka ni kiasi cha kumkumbusha na kumweleza kwa upendo kwamba wife nataka uwe hivi,unajua tatizo lenu mnalazimisha mabadiliko kwa haraka ndo shida yenu iko hapo,ukiniambia leo nataka uwe hivi unataka kesho uone kama unavyotaka,ni ngumu jamani,kumbadilisha mtu nayo ni process kwa hiyo wakati process inaendelea unatakiwa kuwa mvumilivu.
 
Umenikumbusha ka serengeti binamu. lol! Hatujawaacha wake zetu nyumbani, wao ndio wameamua kujiacha nyumbani. Wana miguu, sura nzuri, fedha na kila kitu. Wanabweteka, wanajiachia na kujisahau. Kama huyo anayebembelezwa lakini anagoma, ulitaka achapwe bakora? Acheni hizo bana.

kwa hiyo solution ni wewe kuokoteza huko nje utoke nae?....sio wote wanabweteka kaka, mie mtoko kwangu ni kila ninapojickia kutoka....
 
ovyooo kabisa.....unadhani mke/mume ni kama nguo unabadilli utakavyo?

Mume habadilishwi ila mke anabadilishika. Si unaona wenyewe mnaturusu ndoa za mitala? Kazi inakuwa kupanga zamu tu. Leo kwa nyamayao, kesho kwa msindima, keshokutwa kwa FL1. Hamna tabu ilimradi kinaeleweka. Mwenye kisu kikali anakula nyama nyingi zaidi.
 
no huyo mwanamke inabidi abadilike kidogo bwana hata kama atashindwa kujiweka update angalau 50/50
kama ulivyosema kipindi kile kiasi mambo hayakuwa fresh na sasa yako Fresh

Na kizuri zaidi unampenda mkeo ..hebu mwambie huyo mkeo aje kwangu nimfundishe kwanza nikianza mavazi nimeshawaambia i love fashion na kwa umri wake kuna fashion zitakazomfanya awe classic

second ..mtizamo na maongezi nitamshauri aachane na magruop ya umbea na abadilishe mtizamo wake
mbona hiyo imetulia sana asijiwekeweke nyuma mwisho ujiopolee kipima joto kingine ;)

Hebu waambie kina nyamayao mamii. Maana na wao bado wako enzi za mwaaalim.
 
Mmhh do you think this is the right way to solve the problems? alternative zako kwa kweli huwa sizikubali kabisa,hivi ukienda kwenye hiyo alternative ukaikuta nayo ni yale yale kama uliyoyaacha nyumbani utakua umesolve tatizo au umeanzisha tatizo lingine? You have to sit with ur partner and discuss,kama unaona haelekei unamwelimisha taratibu iko siku somo litaingia kichwani.

huko wana solve nini zaidi ya kuweka wallet mezani.....nikifikiriaga hapo ndio mana pesa yangu ni yangu,yake ni yetu haina mjadala........
 
no huyo mwanamke inabidi abadilike kidogo bwana hata kama atashindwa kujiweka update angalau 50/50
kama ulivyosema kipindi kile kiasi mambo hayakuwa fresh na sasa yako Fresh

Na kizuri zaidi unampenda mkeo ..hebu mwambie huyo mkeo aje kwangu nimfundishe kwanza nikianza mavazi nimeshawaambia i love fashion na kwa umri wake kuna fashion zitakazomfanya awe classic

second ..mtizamo na maongezi nitamshauri aachane na magruop ya umbea na abadilishe mtizamo wake
mbona hiyo imetulia sana asijiwekeweke nyuma mwisho ujiopolee kipima joto kingine ;)
Mbona katika thread sijaona jamaa akisema mke wake anajihusisha na magroup ya umbea? au hizi pre judgement zako unaziweka vp? Mbona nyie mnao jiita classic ndo mnaongea sana umbea huko kwenye masalooni yenu ya classic? au umbea wenu tofauti?
 
Badilikeni Wote! Shuka Kidogo na Yeye Apande Kidogo Kisha Mkutane katikati!
 
huko wana solve nini zaidi ya kuweka wallet mezani.....nikifikiriaga hapo ndio mana pesa yangu ni yangu,yake ni yetu haina mjadala........

Hahahaha! Mdada hujampata wa size yako, Ukakolea inavyotakiwa. Zako zitakuwa zenu na zake zitakuwa zake.
 
Mbona katika thread sijaona jamaa akisema mke wake anajihusisha na magroup ya umbea? au hizi pre judgement zako unaziweka vp? Mbona nyie mnao jiita classic ndo mnaongea sana umbea huko kwenye masalooni yenu ya classic? au umbea wenu tofauti?

mie sijasema kama ni classic lakini mwanamme kamuomba mkewe kwa uzuri tu ajaribu kuchange ..walikuwa juani sasa wanalia kivulini

Mimi kama mwanamke kwa nini nisijaribu kuchange jamani ?? kuna tatizo nilikuwa navaa CHIRIMENI mme wangu akanipa pesa ya kitenge ?
 
Badilikeni Wote! Shuka Kidogo na Yeye Apande Kidogo Kisha Mkutane katikati!

Mkuu nimekukubali. Na avatar yako naona inawaelekeza namna ya kupanda na kushuka alafu namna ya kubakia katikati. Nimeona nikupee thanks hapa.
 
mie sijasema kama ni classic lakini mwanamme kamuomba mkewe kwa uzuri tu ajaribu kuchange ..walikuwa juani sasa wanalia kivulini

Mimi kama mwanamke kwa nini nisijaribu kuchange jamani ?? kuna tatizo nilikuwa navaa CHIRIMENI mme wangu akanipa pesa ya kitenge ?

Leo mamii nakuagilia vibaya mno. Yaani umenikuna kiukweli. Na kwa sasa nakupea thanks kwa hapa
 
yaa chrispin dunia hii kama hutaki kubadilika utashushwa kwenye tren kabla hujafika mwisho wa safari

Hii nimeipenda zaidi, ntaitransleti kwa kimombo nimtumie my wife wangu ili iwe na msisitizo zaidi.
 
mie sijasema kama ni classic lakini mwanamme kamuomba mkewe kwa uzuri tu ajaribu kuchange ..walikuwa juani sasa wanalia kivulini

Mimi kama mwanamke kwa nini nisijaribu kuchange jamani ?? kuna tatizo nilikuwa navaa CHIRIMENI mme wangu akanipa pesa ya kitenge ?
Umeona sasa hapo it shows that tatizo nalo ni mume anataka mkewe awe vile mume anapenda na sio vile mke anapenda! wewe utamlazimishaje mkeo avae suruali? mbona kuna magauni tu mazuri na mtu anapendeza? huyo mume naye anamatatizo?
 
Hii nimeipenda zaidi, ntaitransleti kwa kimombo nimtumie my wife wangu ili iwe na msisitizo zaidi.
Kaka naona ushajisahau huko kwenye thread nyingine umetangazwa mshindi kwa FL huku naona Unamkana tena!!
 
Lol! Nimeingia choo cha kike, nikifanya masihara itakula kwangu. Lakini itikadi yangu inaniruhusu kuwa na wake zaidi ya mmoja.
 
Umeona sasa hapo it shows that tatizo nalo ni mume anataka mkewe awe vile mume anapenda na sio vile mke anapenda! wewe utamlazimishaje mkeo avae suruali? mbona kuna magauni tu mazuri na mtu anapendeza? huyo mume naye anamatatizo?

mmh sometimes kicheni pati zinasaidia hapa siendelei tena kimey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom