Nani anataka kuwa shemeji yangu?

Nani anataka kuwa shemeji yangu?

Mkuu utafiti najitolea bana najua hapo no mpango wa kando na siku akigoma kufanya mambo hakuna swali unakaa kimya
 
Last edited by a moderator:
....aagh kazi ndogo sana kumdhibiti uyo,dawa yake unakuja na kitu cha risasi za mkanda unaua panya wote ndani alafu unapuliza kwa mdomo kale kamoshi kanakotoka baada ya chombo kutumika. Kuanzia hapo kama jeshi vile kila akikuona anabana kwapa..teh teh....
 
Ze rocky.... wale "ke" wazamani.... !! siku hizi wapo FIGHTERs !!

Mhhh naona wa siku hizi ndo balaa kwa kulegea Zamiluni Zamiluni ukiweka wallet inacheua na funguo za gari mezani na ukimtoa na kumpela serena kwa lunch na Kempisky kwa dinner na ukiwa na mgegedo wa haja na ukijua kuutumia hiyo bunduki atakuwa aieiachasebuleni wakati wewe uko chumbani unafanya mambo
 
Duuuh Mkuu hapo mumemaliza... lakini rare kupata vitu au silaha zote hizo.... nafikiri ukiwa navyo hupeleki.. Wao watakuja kusimama foleni kama mlolongo wa magari pale mujini karikakoo!!
 
Duuuh Mkuu hapo mumemaliza... lakini rare kupata vitu au silaha zote hizo.... nafikiri ukiwa navyo hupeleki.. Wao watakuja kusimama foleni kama mlolongo wa magari pale mujini karikakoo!!

Mkuu Zamiluni Zamiluni ndo maana nasema ukiwa na vitu kama hivyo hiyo silaha itawekwa mbali hata kuioperate atashindwa au kusahau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom