Nani anastahili msaada wa kwanza hapa?

Mkuu hujawaunga na Bima ya afya? Ni muhimu sana hasa unapokuwa huna cash

Mkuu Sijawaunga Kwasababu Huyu Manzi Sijamuoa Hivyo Sina Cheti Cha Ndoa Cha Kwenda Kumuhakiki ILi Wamuunge.
 
we ni mwanaume bhana huwezi kumwambia mmoja wao eti nimeshindwa kukupeleka hospital kwakuwa nina mgonjwa mwingine....we angalia kiasi ulichonacho then ongezea toka sources za nje, siku hizi kuna watu binafsi wanakopesha hela kwa riba, hakikisha wote unawapatia matibabu...je ingekuwa una watoto wawili wote wanaumwa, je ingemtibu na kumuacha mmoja aangamie!? mwanaume hashindwi umiza kichwa wote wapate matibabu
 
hesabu rahisi sanaaaaa
chukua kiasi chako cha fedha gawanya Kwa mbili jibu utakalopata ndicho unachotakiwa kupeleka Kwa make na mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom