Nani anastahili kuwa rais wa TFF?

Nani anastahili kuwa rais wa TFF?

Joined
Jul 8, 2013
Posts
54
Reaction score
76
Hayahaya wagombea wa urais wa TFF. Nani anastahili kuongoza mpira wa Tanzania kwa miaka minne ijayo?

Binafsi naona Karia anastahili minne mingine kwa kuwa chini ya uongozi wake mafanikio yanaonekana.

Tumefuzu Afcon.

Simba imefuzu mara mbili robo fainali ya Kombe la Klabu bingwa Afrika.

Thamani ya ligi imeongezeka.

Kuanzishwa kwa ligi ya wanawake n.k.

20210613_210730.jpg
 
Yaani mpira wetu bado hatuna dira halisi ila tunahitaji matokeo ya uwanjani

Kwa upande wa swali lako tunahitaji sura mpya ili nao watusogeze wanapo ona wengne walikosea
 
Kwa kanuni hizi zilizopo kuja kumtoa rais aliyoko madarakani akiwa naye anagombea tena nasema haiwezekani kamwe!!!
 
Huyu hawa yuko serious au anajaribu bahati?
1.mayayi
2.oscar
3.karia
 
Back
Top Bottom