denzo washington
Member
- May 7, 2013
- 23
- 7
Jina amefulia mkuu hana jipya tena hizo tuzo za kilimanjaro hata kigwema ameshawahi kupata tuzo anapanga dj jd nani apewe unategemea nini? Jide kifupi hana jipya yeye mwenyewe anajua ndio maana full kujishitukia hii nyimbo yake mpya inaumiza masikio tu bora ikatumike kwenye mashamba ya mpunga kufukuzia ndege
asante kwa ufafanuzi mzuri wenye macho wameonaNi dhahir kuwa mtu anayedai kuwa mwanamuziki regendary wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kafulia basi ni wazi kuwa atakuwa na matatizo ya ubongo.kwa kumbukumbu chache tu nilizonazo jide alianza muzik miaka ya 2000 na alianza na wasanii kibao lakini sas ivi wako wapi?
Kwa nini amliangalii hilo? Ebu jaribuni kuwa na huruma na huyu mwanamke,kuna wanamuzik wa kiume alioanza nao miak hyo lakin wameishia njian kutokan na changamot fulan lakin jide hakukata tamaa kapambana hadi leo hii ninavyoongea na wew,mnavyofany ni kumkatisha tamaa,jide nadhan ndie mwanamuzik aliyepat tunzo za kumwaga pengine kuliko msanii yeyote,kwa record ndog tu niliyonayo toka mwaka 2006 hadi 2011 jideamekuw akinyakua tunzo za mwanamuzik bora wa kike achilia mbali category nyingine..kapamban hyu dada hadi kaunda band yake mwenyew na mgahawa wake bado mnasema kafulia?
Wako wapi wakina ray c? Ebu nitajie list ya wasanii angalau wenye mafanikio apa bongo je jide atakosa?,jaribun kukubal mchango wa huy dada au mnatak afe muanze kutoa unafiki wenu?,jide ni commando hakuna wa kulibisha hilo,jaribuni kuwa wapole kwa hili.
Nimecheka mpaka basi hii comment!Jina amefulia mkuu hana jipya tena hizo tuzo za kilimanjaro hata kigwema ameshawahi kupata tuzo anapanga dj jd nani apewe unategemea nini? Jide kifupi hana jipya yeye mwenyewe anajua ndio maana full kujishitukia hii nyimbo yake mpya inaumiza masikio tu bora ikatumike kwenye mashamba ya mpunga kufukuzia ndege
Kwa kukusaidia tu ebu kachungulie kweny facebook fan page ya lady jay dee afu angalia ana likes ngap,pumbafuuuu...jide yupo top three kati ya wanamuzik weny mashabiki wengi tz
Andika vizuri basi ili RUGE aelewe
Ni joto la hasiraaa... yelela yelela na RUGE mwenyewe yelela yelela......
yani kuna mijitu mijinga sana...kwaio ruge akisimama na kutamka jide kaisha na nyie mnakubali tu bila kureason,uyu ruge mnapenda kumpa nguvu wenyewe ambazo yeye wala hana ni ujinga tu wa kitanzania, yani kesho akisimama aseme ali kiba muda wake umeisha ata nyie great thinkers mnakubaliana na hilo na kuanza kushabikia inashangaza sana....ebu tuambieni ni msanii gani wa kike anayeweza kumtishia jide kwa wakati huu ndio tukubali propaganda zenu za kinafki.....nimeshangaa sana mtu kama mrisho mpoto anasimama jukwaani dodoma anamtukana dada wa watu sijui ata kamkosea nini,mpoto wewe ni wa kumtukana jide eti kaishiwa mara ivi mara vile utafikiri hakuna kesho.....hapa ndio huwa naaamini watanzania hatuitaji katiba mpya wala chama kipya tunachoitaji ni fikra mpya ndio tutatoka hapa tulipo.
Mpoto hovyo sana,mtumwa wa ruge na pia alikuwa ana personal interest....Jamaa nimeanza kumuona BWABWA sanaaaaaaa