Nani anasema Iran maskini?

Nani anasema Iran maskini?

Wewe Una hate na Iran...mbona Saudia Arabia wako Sawa na Iran kiimani lakini hawana maendeleo ya Iran?

Saudia ndio chimbuko la huo uzombi wa kidini, wala huwa hata siwafuatilii maana ndio miarabu yenyewe haswa.
Lakini Iran ni watu wenye akili sana, the Persians, wangekua mbali isingekua uzombi wa hiyo dini ya mwarabu, kwanza mababu zao walichinjwa sana wakati hiyo dini inaingizwa humo.
 
Mbona nyinyi Kenya mumeachwa mbali Sana na Uturuki na Iran Kama unafikiri kuwaabudu westerners ndo ujanja?
 
Mbona nyinyi Kenya mumeachwa mbali Sana na Uturuki na Iran Kama unafikiri kuwaabudu westerners ndo ujanja?

Hamna sehemu nimetaja uabudu wa wazungu, punguza mihemko unisome upya, nahisi utakua mfuasi wa hiyo dini ya mwarabu ndio maana unabwabwaja, narudia tena, Iran ni watu wenye akili sema wanacheleweshwa kwa kuingia mkenge wa dini ya mwarabu.
 
Iran wangekua mbali sana maana ni watu wenye akili sana, kinacho waponza na kuwakwamisha ni pale waliingia mkenge wa dini ya mwarabu...
Ww nchi yako kenya ambao hamjaingia mkenge wa dini ya waarabu mko wapi?

Mbona mnanuka umasikini na njaa.

Ww jamaa umejaa chuki sijui kwanini adimini wa form hii hakupigi ban maana ww ni mtu hatari kwa jamii iliyo sitaarabika.
 
Back
Top Bottom