ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,669
- 20,750
Sasa unacho takiwa kujua ni kwamba Uchumi wa saudia ni mkubwa kuliko wa Uturuki.Saudia ndio chimbuko la huo uzombi wa kidini, wala huwa hata siwafuatilii maana ndio miarabu yenyewe haswa.
Lakini Iran ni watu wenye akili sana, the Persians, wangekua mbali isingekua uzombi wa hiyo dini ya mwarabu, kwanza mababu zao walichinjwa sana wakati hiyo dini inaingizwa humo.