Nani anasapoti maandamano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anasapoti maandamano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by emma 26, Feb 27, 2011.

 1. e

  emma 26 Senior Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumekuwa na ongezeko la watu wanaona suport maandamano inchini. Binafisi sijui kama maandanamo wanayofikiri yakoje. Cjui wanamanisha maandamano kama ya libya? Nijuovyo maandamano ni mapinduzi ya uongozi.je ni sawa kuwa na mapiduzi ya namna hiyo sasa? Je hayo maandamano hayawezi kutuludisha nyuma? Hayawezi kutuletea vita vya wenyewe kwa wenyewe? Binafisi sidhani kama hiyo ni njia sahihi kwani hatuwezi kujua kitakachotokea.inawezekana kabisa mtu tunayedhani ndo kiongozi wa serikali ya mpito ndo akawa wa kwanza kuuawa na maandamano ambayo we unaona ni ukombozi.ni kweli kabisa mwanamke anapotongozwa wagajui huyo mwanaume ni mtu mzuri au la ndo badae akambulia makofi na mateso ambayo hakutemea.tusiona mtu anatuambia mazuri tukadhani yote yake ni mazuri la hasha.
   
 2. m

  mshaurimkuu Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana wewe ni mbumbumbu wa kutupwa kuhusu haki za msingi za kiraia na kikatiba. Itafute sana elimu (sio ya darasani tu hata ya kawaida ya kimaisha) ili upate kuwa na fikra huru badala ya mawazo mgando uliyo nayo.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  watu bwana,we unataka yawe vipi sasa?
   
 4. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ukombozi ni sasa,na hakuna muda wa kupoteza,naamini kuwa kuamini kuwa maandamano yataturudisha nyuma,ni uoga ambao tunapaswa kuuacha,ni uoga ndio umetufikisha hapa,nashauri wale waoga na wenye mawazo mufilisi kama yako EMMA,ukae pembeni maana ukombozi hauletwi na wingi wa jeshi bale hata jeshi dogo lenye dhamira ya kweli .Kwa hali ya maisha ilivyo ngumu hapa nchini huu ndo muda muafaka wa kupinga kwa maandamano kupanda kwa gharama hizo.
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  No comment kumbe ni Emma Nchimbi. Crap
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,168
  Trophy Points: 280
  Definition ya maandamano siyo hiyo nani kakuambia maandamano ni mapinduzi ya uongozi, CCM kila mwaka inaandamana kupongeza hotuba za rais imempindua nani. Kaanze kusoma upya kuanzia definition yake kabla hujaja kwenye content na concept ya maandamano.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Unajua ujuaji wenu ndio unaoturudisha nyuma, kuna watu mnaamini wooote wanawaza, wanajua na kuamini kama nyie..

  Hivi kuna ubaya gani mkamjibu jibu la kumvutia ayapende maandamno, hivi nyie wenzetu mnafikiri mapinduzi yatafanikiwa na wachache tu??
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  asanteni kwa elimu zenu
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Emma dhana ya maandamno sio ya kuigopa kwa sababu zifuatazo

  1. Hielekei kama uchaguzi ndio njia ya kupata viongozi, tume ya uchaguzi haiko huru, kuna ukiukwaji mkubwa wa uchaguzi na kupelekea watu kuogopa hata kupiga kura.

  2. Theory ya kuikosoa serikali inaweza kaufanya kazi tu kwa serikali sikivu, pamoja na CCM kuambiwa na kukosolewa sana kwa ubaya wao still hawako tayari kubadilika au kufanya vile wengi watakavyo

  3. Katiba ya Tanzania inampa madaraka makubwa rais kiasi cha kuweza kufanya lolote lile na hakuna wa kumuuliza maana top leaders woote yeye ndiye anayewateua.

  4. Hali ngumu za maisha ambazo zinakosa wa kuzifanyia kazi zinaweza zikachangia kwa namna moja watu ku-seek revolution

  5. With this status quo ya kila mmoja 'kivyake' pasi kuangalia vizazi vijavyo tutalipoteza taifa la Tanzania

  Kna sababu nyingi ila kubwa ulijue kuanzia sasa

  TANZANIA YA SASA HAINA KIZAZI CHENYE UCHUNGU NA NCHI HII ........UZALENDO HUJA KWA KURITHISHWA AU KUONA NA KUTATUA MATATIZO YOYOTE YA NCHI NA KULETA UMOJA KWA WATU WAKE. Leo hii hatuna sifa ya uzalendo wala umoja....hatuna sifa ya uwajibikaji wala kuwaza vizazi vijavyo

  ILI NCHI IWE NCHI LAZIMA KUNA WATU WATAKUFA NA KUJITOLEA KUJENGA NCHI IMARA this principle is hard to comprehend but is a matter of fact that we are swimming in the pool of foolishness and ignorance simply because previously, there is no generation that suffered for current generation

  DAMU, SADAKA, n.k lazima vimwagike ( REVOLUTION) kwa ajili ya ustawi wa taifa la tanzania sasa na vizazi vijavyo..next generation will be proud of the country of their fathers and mothers ... because tutakuwa tumewapigania wao!!! nao watatunza nchi kwa ajili ya vizazi vijavyo...NCHI ZOTE ZENYE NGUVU DUNIANI ZIKO HIVI...wengine uzalendo haujatokana na vita bali hata natural distaster! '' same people who share common problems are bound to live together'' ndio maana wagonjwa wa ukimwa wana furaha sana wakiwa pamoja na wenzao kuliko wengine wazima-this is saikoloji..

  Leo nchi haina wazalendo....it is high time to think and redeem our country from CCM so kindly support Chadema etc for their any move toward revolution...kindly hate yourself, CDM and other parties if they think the ballot box will help....not in Tanzania not in this generation..( EVOLUTION is not desirable dear)

  Having greedy Tanzanian who dont care for this country , yes we real need immediate actions to save this country...time is now! your babies and grandbabies need you to do something now!
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Maandamano ni njia ya kufanya tathmini kuona je watu wanaitikiaje wito kuhusu dhumuni la maandamano hayo? Kwa mfano; CDM wanafanya maandamano kupinga kulipwa DOWANS na CCM nayo ihamasishe watu waandamane kusupport DOWANS walipwe. Idadi ya watakao hudhuria maandamano hayo ndo itaonyesha kama wanaugwa mkono ama la!

  Pili, maandamano ni njia ya kufikisha ujumbe kwa sauti ya pamoja kwa wahusika. Mwananchi wa kawaida mmoja mmoja akiwa yuko kivyake na mtazamo wake hata akisema au kulalamikia jambo fulani, ni rahisi kupuuzwa na viongozi na kuonekana kama mpiga kelele. Lakini mandamano yana wakutanisha watu pamoja kujadili jambo husika na kuweka msimamo.

  Emma, usiwe kama zuzu anaeogopa mabadiliko. Mabadiliko ya aina yeyote ile ndo yatayo kukufungua ufahamu na kujua jinsi ya kukabiliana na changamoto za kimaisha. Inaonekana kama unaona kuwa Tanzania bila CCM haiwezekani, huu ni ujinga mkubwa. MABADILIKO NI LAZIMA, ACHA WATU WAANDAMANE WAPENDAVYO.
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kwa mfano ni kukuambia ni mimi ndie ninae support au ni fulani...then??
   
 12. W

  WFM Senior Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Many thanx WEBS. Kuwa Great Thinker sio tu kuanzisha au kuchangia post kila siku, bali ni mchango (constructive contribution) wako kwa umma unaotembelea forum hii. Ubarikiwe sana ili uzidi kutoa elimu ya kutujenga na kuwatia moyo walioko nyuma na waoga katika harakati za kujikomboa.
   
 13. T

  Teh Teh Teh Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jogoo awike asiwike, asubuhi patambazuka..... maandamano ni haki ya raia, ya kupinga, kuonesha hisia za furaha, majonzi, dhuluma, chuki dhidi ya watawala wa CCM.
   
 14. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Aiseeee...Umeyakimbia kumbee...Doooh..!!!Nikwambie kule Unakosema Libya ndipo nilipo...SIJAKIMBIA MIMI...NACHUKUA UZOEFU NIJE HOME ITAKAPOKUWA IMETANGAZWA KAZI HII ILIYOPO HAPA LIBYA.We utakuwa umekimbia kwa sababu hauna jasho lako hapa na wala maumivu na nchi hii ya Libya,Pia utakuwa umekimbia kwa sababu unamahali pa kukimbilia yaani Tanzania kwenye nchi yako.Itakapofika saa ambayo unatakiwa kuililia nchi yako Tanzania utaona umuhimu wake.Piga Kimya siku ya siku ifike tutakuwa pamoja tukishikilia bango mbele ya msafara wa maandamano.MUNGU WAPE MOYO WA UJASIRI WALIOJAWA WOGA WA KUDAI HAKI ZAO ZA MSINGI NA UWAONDOLEE WOGA HUO UNAOWAFANYA WAACHA MASLAHI YAO KULIWA NA WENYE MENO(MAFISADI)Tupe ujasiri Mungu wetu....Emen.
   
 15. s

  seniorita JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  cowards are not needed here...
   
 16. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kwenye msafara wa mamba kenge wamo "Jihadhali na Pro-Mubarak, Pro-Gadaffi na Pro-Kikwete" by Quinine
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Amen
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  We are coming, the sons and Daughters of the land, yes we are coming, you will see us, hear us, taste us , feel us and enjoy us, we are coming
   
 19. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  ndugu yangu unahitaji msaada, maaana naona hayo maneno yako ni ya kitoto zaidi hayana uhalisia wowote kabisa, unadhani utatuogopesha sisi ??
  Je unajua kuwa mimi nimeshuhudia zile artillery fires zilizokuwa zinalipuliwa kutoka pyongyang DPRK? sisi tulikuwa jirani kabisa kwenye ile zone ya demilitarilized zone wewe acha bwana..ninyi wote ni watu mnaosemwa na WABERYO hapo juu kuwa hamna uzalendo na nchi yenu, mnajali sana matumbo yenu ,mmejaa unafiki tupu bila lolote, bila ya kujali next generation
  Just to remind you, 2011 is the revolution year for Africa therefore Tanzania as a part and parcel of Africa will not be left alone during this unprecedent struggle movements for human kind.
   
 20. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Thank you mkuuu,
   
Loading...