Nani anasapoti maandamano?

kumekuwa na ongezeko la watu wanaona suport maandamano inchini. Binafisi sijui kama maandanamo wanayofikiri yakoje. Cjui wanamanisha maandamano kama ya libya? Nijuovyo maandamano ni mapinduzi ya uongozi.je ni sawa kuwa na mapiduzi ya namna hiyo sasa? Je hayo maandamano hayawezi kutuludisha nyuma? Hayawezi kutuletea vita vya wenyewe kwa wenyewe? Binafisi sidhani kama hiyo ni njia sahihi kwani hatuwezi kujua kitakachotokea.inawezekana kabisa mtu tunayedhani ndo kiongozi wa serikali ya mpito ndo akawa wa kwanza kuuawa na maandamano ambayo we unaona ni ukombozi.ni kweli kabisa mwanamke anapotongozwa wagajui huyo mwanaume ni mtu mzuri au la ndo badae akambulia makofi na mateso ambayo hakutemea.tusiona mtu anatuambia mazuri tukadhani yote yake ni mazuri la hasha.


Dada/kaka ebu toa njia ilio sahihi kuutoa sasa (si mpaka 2015) utawala wa CCM ulioshindwa kuondoa ugumu wa maisha.
 
Back
Top Bottom