we log off tumimi ni mmoja katika wehu waliomo humu,yaani sijaelewa kabisa!
Nalog off
I see nothing
Sipingani na ukweli huo kabisaa..wote tutaelekea ardhini kama pua zetu zinavyoelekea!
Hakuna atakae bisha. Tumeumbwa kwa udongo tutarudi kwa udongo. Subhanallah.
Picha bishi hii
Binaadamu mbishi, wengine hubisha ukweli huu kwa kuyafagharisha makaburi eti kuonyesha tofauti. Hata hivyo ukweli unabaki kama picha ilivyo!
Upo wewe huonekani
si unajuwa kipindi cha harakati kimeshaanza tena.