JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 273
Habari wakuu! Nlipata kurudi chuo nilichosoma miaka 6 iliyopita kumwomba dokta mmoja aliyenifundisha a"recommend" kama academic referee wangu katika maombi yangu ya masters lakini akanambia sie tushakusahau mwajiri wako ndiye anayekujua kwa sasa aku"recommend"? Je in sahihi hayo wakuu au nikatafute mwengine tu na VP nikimpata ambaye hakunifundisha? Nawasilisha