Nani anapanga bei za nyumba Bongo?

Nani anapanga bei za nyumba Bongo?

In the real estate business, it is sometimes joked that the three most important factors when buying a piece of property are location, location and location. The location of a property is the most fundamental factor that determines its value. Location determines the type neighborhood a property lies within, and the property's access to fundamental necessities such as hospital, school, banks, shops, theaters and libraries. Being located in a good neighborhood generally means one will experience less crime and likely experience greater gains in the value of their real estate over time. In fact, location is so important that an empty lot in an upper-scale neighborhood can be worth far more than a lot with a large home in a less desirable neighborhood.

Hii ni kweli kama unaishi nchi zilizoendelea. Kwetu vitu hivi ni vichache au hakuna kwenye maeneo mengi ambayo nyumba na viwanja vinauzwa ghali.

Mimi naona kwetu bei za nyumba na viwanja vinategemea na kina nani wanakaa huko (wenye nazo au walala hoi)...so naweza kusema ni kasumba!!
 
Kwa kuongezea.... bei zinategemea na eneo.Nyumba hata iwe nzuri namna gani kama iko uswazi sahahu kupata bei nzuri. Ukiwa na kijumba maeneo yenye majina kama Masaki, OYSTERBAY,MiKOCHENI,MSASANI Peninsular wewe ni mtu wa madolars tu na utapanga bei unavyoona wewe.
 
Suala si service ziwe upande wa pili wa barabara unapoishi ila ziwe within proximity, sio masaa matatu barabarani

Neighborhood inachangia nayo kupandisha value ya property but it all depends on the locality as well. Mfano Mtoni Kijichi kumejengeka vizuri sana, lakini bado watu hawapapalikii kama Mbezi beach, na kijiji kuna beach plots nyingi tu za kufa mtu!
 
Kwa kuongezea.... bei zinategemea na eneo.Nyumba hata iwe nzuri namna gani kama iko uswazi sahahu kupata bei nzuri. Ukiwa na kijumba maeneo yenye majina kama Masaki, OYSTERBAY,MiKOCHENI,MSASANI Peninsular wewe ni mtu wa madolars tu na utapanga bei unavyoona wewe.

Market ndio ita-determine bei si wewe!
 
Market ndio ita-determine bei si wewe!

Kwa Tanzania inategemea na eneo nyumba ilipo, imejengwa vipi na thamani yake. Kingine kinachotofautisha soko la nyumba Tanzania na kwingineko ni mikopo, nyumba nyingi Tanzania zimejengwa kwa pesa binafsi na sio mikopo toka financial instititutions au waajiri. Kwa sababu hii hakuna market rate inayombana mwenye nyumba. Anapongojea mpangaji wa kodi anayotaka gharama yake ni ulinzi,umeme na maji -kama yapo otherwise ni visima.
 
Sifahamu kuliko bei za ununuzi lakini kodi za pango(makazi)katika maeneo yanayozunguka katikati ya jiji yako juu sana na uchunguzi uliyofanywa na rafiki yangu(real estate agent) amegundua kuwa nyumba nyingi zilizojengwa hivi karibuni maeneo ya Sea View,Upanga,City Center wamepangisha nusu tu ya nyumba huku wakikosa wateja wa kupangisha zilizobaki.Ghorofa hizi zilijengwa kwa matumaini ya kutengeneza hela nyingi kwa muda mfupi.Itabidi washushe kodi au kuendelea kukosa wapangaji.
 
hizi nyumba nilikuwa nazimezea mate sana kabla sijaondoka .. one day
 
tanzania ni moja ya nchi ambazo kila kitu ni informal, machinga mpaka geti la ikulu, ndio maana wenzetu wamefanya shamba la bibi kwasababu hakuna mamlaka zinazoendesha mifumo ya maissha kama mipango miji, biashara, n.k. Kama zipo ni dhaifu na ni rahisi kuzirubuni kwa kitu kidogo. Kwa mantiki hii nchi hii inaminaya mingi ya kupata pesa kwa super profit bila hata kulipia kodi mfano baa, pub, guest, viosk, daladala, taxi, migahawa n.k watu wanaishi kiujanja ujanja tu.
Kutokana na hali hii watu wanatumia udhaifu huu kujipatia fedha zaidi kwa kutoza kodi kubwa bila kuzingatia ubora wa nyumba au value for money.
Pia demand and supply factors zinachangia sana kwenye hili tatizo hakuna standards....hii nchi ni ngumu na rahisi pia.
 
Nakupa mfano supply ikiwa ndogo demand itakua kubwa,so hapo sasa itabidi basi kama unataka bei ya nyumba zishuke zijengwe nyumba nyingi sana,supply iwe kubwa hapo demand itashuka,lakini demand kushuka ni ngumu manake watu wanaendelea kuongezeka na demand inazidi kuwa kubwa,kwa hali ya sasa hivi kama unasubiria bei ya nyumba ishuke ni ndoto especially Dar manake watu wanazidi labda serikali ipate hela ijenge nyumba za kutosha watu wapate makazi yaliyobora ndio bei ya nyumba itashuka,ndio maana sasa hivi kuna nyumba za wapangaji unakuta nyumba moja ina wapangaji kama ishirini kila mmoja yuko na familia yake hapohapo,hiyo inatokana na ukosefu wa nyumba za kutosha.
 
Anaekataa kua Market forces (Demand & Supply forces) haichangii kupanga bei za Nyumba atakua haijui hii theory vizuri, na sio dhambi kwani sio wote tulisoma uchumi.
Ingekua kwa bei hizo hakuna wapangaji/wanunuzi basi wangeshusha tu.
Sasa kama tunaona bei ni kubwa, tugome kupanga hizo nyumba, but hapo ni subject to availability of alternative solution during that ''mgomo''
 
Back
Top Bottom