Nani anamiliki Jambo TV online?

Nani anamiliki Jambo TV online?

TV hii inafanya vizuri sana , naomba nimpongeze mmiliki na ningefurahi kumfahamu..
Hii andio TV pekee iliyobaki na ujasiri wa kurusha matangazo ya Vyama vyote enzi za Magu.

Kabla ya hapo kulikuwa na Dar 24 tv Mkurugenzi wake alishughulikiwa sana
 
Kwa kweli wapo vizuri, nimeona habari yao leo kuhusu shule isiyokuwa na madawati Tabora. Mkurugenzi anasema eti wasiirushe ile habari kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi
 
Kwa kweli wapo vizuri, nimeona habari yao leo kuhusu shule isiyokuwa na madawati Tabora. Mkurugenzi anasema eti wasiirushe ile habari kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi
😄 hawa wako vizuri kdg hawapindishi mambo kama wakina ayo


Ova
 
Back
Top Bottom