Asante sana. Gateway ya internet ni MBs ( kama sijakosea). Nani anagawa/anamiliki MBs?Hakuna mtu mmoja anayemiliki Internet.
Internet ni mtandao mkubwa wa dunia unaounganisha mamilioni ya mitandao midogo. Umiliki na uendeshaji wake umegawanywa kwa mashirika mengi tofauti duniani.
Kwa ufupi:
1. Miundombinu (Fiber, satelaiti, minara)
Inamilikiwa na makampuni binafsi kama:
AT&T, Verizon
Google, Meta
Huawei, MTN, Vodacom, Airtel
na wengine.
2. IP Address na majina ya tovuti
Yanaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali:
ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)
3. Viwango na sheria za teknolojia
Yanatolewa na mashirika ya kimataifa kama:
IETF
W3C
4. Serikali
Nchi zinaweza kudhibiti matumizi ndani ya mipaka yao, lakini hazimiliki internet.
Kwa hiyo:
Internet ni mfumo wa pamoja uliotengenezwa na mashirika, kampuni na serikali mbalimbali, sio mali ya mtu mmoja.
Tunatumia vpnTCRA, wakikata hata google haipumui.
Wanazima na umeme.Tunatumia vpn
Of course kuingia goggle lazima uwe na internet connectivity, sasa nani aliwaruhusu TCRA kuwa na mamlaka ya kukata internet? Can these companies mentioned by TIASSA circumvent TCRATCRA, wakikata hata google haipumui.
Ccm na Polisi wao ndio huwapa mamlaka hao TCRA.Of course kuingia goggle lazima uwe na internet connectivity, sasa nani aliwaruhusu TCRA kuwa na mamlaka ya kukata internet? Can these companies mentioned by TIASSA circumvent TCRA
TCRA ni nini?Of course kuingia goggle lazima uwe na internet connectivity, sasa nani aliwaruhusu TCRA kuwa na mamlaka ya kukata internet? Can these companies mentioned by TIASSA circumvent TCRA
Thanks AIHakuna mtu mmoja anayemiliki Internet.
Internet ni mtandao mkubwa wa dunia unaounganisha mamilioni ya mitandao midogo. Umiliki na uendeshaji wake umegawanywa kwa mashirika mengi tofauti duniani.
Kwa ufupi:
1. Miundombinu (Fiber, satelaiti, minara)
Inamilikiwa na makampuni binafsi kama:
AT&T, Verizon
Google, Meta
Huawei, MTN, Vodacom, Airtel
na wengine.
2. IP Address na majina ya tovuti
Yanaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali:
ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)
3. Viwango na sheria za teknolojia
Yanatolewa na mashirika ya kimataifa kama:
IETF
W3C
4. Serikali
Nchi zinaweza kudhibiti matumizi ndani ya mipaka yao, lakini hazimiliki internet.
Kwa hiyo:
Internet ni mfumo wa pamoja uliotengenezwa na mashirika, kampuni na serikali mbalimbali, sio mali ya mtu mmoja.
Chombo cha sisiemTCRA ni nini?
Wanafunzi watu wa vyuo na mainjinia wamelala sana.Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it!
Dictatorial governments normally switch off internet! TCRA can switch off! Who Owns internet?
Is it possible to have internet tunneling?
Eleza kw undani, nadhani unalenga kuelezea internet tunneling???Kutengeneza Satellite uplinks and down links ni rahisi sana
Sio rahisi hivyo, kwanza gharama za equipments,kwa sababu zinahitaji very powerful transmitters,amplifiers na large antennas,pia lazima kuwe na regulations kutoka TCRA hapo ndo changamotoWanafunzi watu wa vyuo na mainjinia wamelala sana.
Kutengeneza Satellite uplinks and down links ni rahisi sana
Kwenye maandamano yaliyopita walizima internet kwenye switch kabisa, may be waliogopa kuwa hacked
Kama hakuna mmiliki, kwanini tunalipia kupata huduma?Hakuna mtu mmoja anayemiliki Internet.
Internet ni mtandao mkubwa wa dunia unaounganisha mamilioni ya mitandao midogo. Umiliki na uendeshaji wake umegawanywa kwa mashirika mengi tofauti duniani.
Kwa ufupi:
1. Miundombinu (Fiber, satelaiti, minara)
Inamilikiwa na makampuni binafsi kama:
AT&T, Verizon
Google, Meta
Huawei, MTN, Vodacom, Airtel
na wengine.
2. IP Address na majina ya tovuti
Yanaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali:
ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)
3. Viwango na sheria za teknolojia
Yanatolewa na mashirika ya kimataifa kama:
IETF
W3C
4. Serikali
Nchi zinaweza kudhibiti matumizi ndani ya mipaka yao, lakini hazimiliki internet.
Kwa hiyo:
Internet ni mfumo wa pamoja uliotengenezwa na mashirika, kampuni na serikali mbalimbali, sio mali ya mtu mmoja.
Si kweli mtaalam, transiver za Satellite ni sawa na gps modules, changamoto ni hivi Mataifa mengi yanazuia uuzwaji wa satellite transiver... Zipo kadhaa masokoniS
Sio rahisi hivyo, kwanza gharama za equipments,kwa sababu zinahitaji very powerful transmitters,amplifiers na large antennas,pia lazima kuwe na regulations kutoka TCRA hapo ndo changamoto
S
Sio rahisi hivyo, kwanza gharama za equipments,kwa sababu zinahitaji very powerful transmitters,amplifiers na large antennas,pia lazima kuwe na regulations kutoka TCRA hapo ndo changamoto