Nani anamfunika huyu?

Last edited by a moderator:
Ha ha aaa, hujui jamani? Mtani Mwita Maranya mie naogopa kunukuliwa.......Mradi umetoa CC subiri utajibiwa mtani.

Mtani KOKUTONA ningekuwa najua wala nisingeuliza. We funguka tu wala usiogope kunukuliwa as long umesema ukweli. Wakikunukuu vibaya mimi nitakuwa wakili wako...
 
Last edited by a moderator:
Wewe mbaba hulali? Mwalimu anakusalimu sana anataka namba yako ya fone

hii msg itoke kwako? Subutu? anayo toka siku ile........sema hapa jamvini unataka niondoke na ndo kwanza nimefika lala kwnza ww tuache tupumuwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…