Mkuu Mwita Maranya, huyo Arushaone ni debe tupu.. full kutika, hana lolote ni nyimbo tu.
Mkuu Mwita Maranya, huyo Arushaone ni debe tupu.. full kutika, hana lolote ni nyimbo tu.
Mkuu Arushaone hata wewe mfalme wa nyika unahofia kupokwa Arabela?
Mimi nilidhani ukiwa unamiliki mwanamke mrembo sana ndo muda wa kujiachia!?
Mbona mahaga hayana uwiano? Moja kubwa jingine dogo.
Yeah she's uncomparable!