Nani anamfahamu John Legend

We are ordinary people we don't know which way to go! take it slow this time I take it slow.
 

Ahahaha Sawa mkuu. Nimekuelewa.
 

Mhhhh makubwa aya me kwa upande wang cjaamini hata robo......
 
Niliwahi kusikia na mimi eti ana asili ya Zanzibar, sina hakika na hili.
 
if i die today remember me like john legend quote lil wyne
 
Inaweza kuwa kweli maana kuna video yake moja kashootia zenji.

Anaonekana muungwana saana J.Legend.m

Ni kweli, kasuku mtu yuko sahihi. Watu wengi hawajui kuwa jamaa huwa anakuja mara nyingi sana hapa na hupendelea Z'bar. Kuna wakati alikwenda mpaka Tabora kutembelea Orphanage moja hivi, nina ndugu yangu anafanya huko aliniambia. Nadhani baadhi ya footage za huko alizitumia kwenye video uliyoitaja hapo juu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
if i die today remember me like john legend quote lil wyne

Correction Mkuu. Quote ya Lil Wayne ni " ... if I die today remember me like John Lennon ..." sio John Legend. Alikuwa anamaanisha gwiji la muziki kutoka kundi la The Beatles hayati John Lennon.
 
Mi namuonaga wa kawaida n OVERRATED, but nashangaa anaheshimika sana majuu!
 
Zaidi ya ile nyimbo ya green light sijawah penda nyimbo yeyote ya huyu jamaa
 
Mngalijua siri za kuwa maarufu nchini Marekani hata msingeanzisha Mada za ajabu namna hii humu. Msitukane tu bila kujua mtu kwa nini anasema jambo....
 

mimi sikuwa mpenzi wa nyimbo zake ila nilichopenda ile simple life ikanivuta kuwa shabiki wake mkubwa

sikuongopei me nishapiga nae story sana coz kati ya watu wanao ishi mafya hakuna alie mjua zaidi yangu alipenda sana hiki kitu

alikua ananipigia sana sim ila namba ilipotea na sm nikatengeneza line mpya
jamaa hataki umuite mmarekani yeye ndio alinipa story za znz kuwa na ubarozi wa amerca africa znz ndio nchi ya kwanza africa nahisi anajifunza kingazija au ameshajifunza siku nyingi sina mawasiliano nae.

na baba yake asilo yake znz.
 
Last edited by a moderator:

hahahaha du! wabongo kwa kuunga story nawakubali! angekuwa mzenji ungekuta tayari alisha piga picha na kina Wema sepetu! angekuwa chini ya management ya kina Tale
 

hahahaha naomba tumtafutie huyu jamaa mchongo kwenye gazeti la udaku au makorokocho
 
Mhhhh makubwa aya me kwa upande wang cjaamini hata robo......

ila jamaa ana nyimbo flani hiv ame shoot zanzibar...ndani kuna kadogo hiv kana angaika mwisho anatokea airpot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…