Nani anakusanya michango ya kumtibia Mwenyekiti Mbowe?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,534
Kama Chadema mmeanzisha utaratibu wa kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu ya mwenyekiti tunaomba account number tuweze kumchangia mwamba.
Siasa siyo uadui.

Nawatakia asubuhi njema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unaweza kuwa na nia njema, lakini ili kupima akili za watu angalia comment ya kwanza baada ya kuanzisha Uzi.
 
Mlivyomharibia vitega uchumi vyake, mlitegemea atayumba kiuchumi, nyie watu mna roho mbaya sana
 
Kiuchumi ameyumba mkuu. Mbowe kunywa faru john (Konyagi) ni dalili za kuyumba kiuchumi. Enzi zake Mbowe alikuwa akigida vjnzano, john walker nk
 
Kama Chadema mmeanzisha utaratibu wa kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu ya mwenyekiti tunaomba account number tuweze kumchangia mwamba.
Siasa siyo uadui.

Nawatakia asubuhi njema.

Maendeleo hayana vyama!
Wameteuliwa lusinde,msukuma,lijuakali,ndugai ndio wakusanyaji michango
 
Back
Top Bottom