Nani anajua hili.

bukabwa

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
112
Reaction score
18
Safety health and environment
Msaada kama Kuna mtu anajua Chuo chochote tz kinafundiasha.coursehiyo naombeni kujua.Course hiyo inaweza kuwa ndani ya Risk management!!!!!!!
0759777493
 
Safety health and environment
Msaada kama Kuna mtu anajua Chuo chochote tz kinafundiasha.coursehiyo naombeni kujua.Course hiyo inaweza kuwa ndani ya Risk management!!!!!!!
0759777493

Sijajua unataka short course au long course. In short, ardhi university wana Masters of science in disaster risk management. Pitia website yao ya www.aru.ac.tz then ucheki otherwise ni_pm for more information kama ni for short course.
 
Itategemea brother short course. Ni flash kwa simu yangi. Sorry
 
Wanaotoa mafunzo hayo kwa sasa tanzania ni (osha) tu, kwa certificate na diploma huwa ni kila mwezi wa saba kila mwaka kwa mwaka huu enrollment imeshafanyika, tofauti na hapo zipo kampuni mbili hapa tz ni pm nikuelekeze mana kuwataja hapa nakua napromote kazi yao. Institution 1 inaanza na jina la he.... Call me tommorow morning not now @0757430913. Tofauti na hapo mafunzo haya hutolewa pia na mining companies kama ni mwanafunzi unaweza pia kuomba ku volunteer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…