Nani anaijua kesho yake?

Nani anaijua kesho yake?

Joined
Jun 3, 2014
Posts
63
Reaction score
68
Tunawwza tukaamini kua hakuna hata mmoja, ila Mungu peke yake, Maana yake ni kwamba wapendwa Hali ya sasa inatisha, sio kama zaman, sasa tumeanza kuogopana, tunabaguana na kudharauliana, kwa sasa mtu akiumwa anaogopwa na wenzake, kisa wanahisi no Kovid 19.

Muujiza mzuri kuliko vyote ni Kuamka salama, na kumshukuru kwa uhai anaotupa kila kukicha, Mungu anatupenda sana,
 
Mungu anatupenda sana.......,
 
Umeongea point nyingi sana mkuu, sana tena ila nadhani watu kama Sirro et al wanazijua kesho zao ndio maana wanafanya wafanyayo
 
Back
Top Bottom