nina mwaka wa tano huu nakabiliwa na tatizo la kutopata choo,kwanza nilikuwa napata choo kigumu sana wakati wakujisaidia,baadae imefikia bila ya dawa za kufungua choo hakuna kitu,Nimeambiwa nitumie dawa za minyoo bila ya mafanikio,hhi inaendana na maumivu wakati mwingine makali hapa kwenye chembe.naomba msaada kwa anayelijua tatizo hili naufumbuzi wake