The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,707 Jan 16, 2026 #1 Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,263 Reaction score 177,481 Jan 16, 2026 #2 Sijui
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,999 Reaction score 23,530 Jan 16, 2026 #3 Bado sijapata connection ya uponyaji wa taifa na kuundwa kwa wizara ya vijana. Sasa hiyo wizara ndio imejibu maumivu ya raia?🤔 Huyu ana kiburi na dharau sana.
Bado sijapata connection ya uponyaji wa taifa na kuundwa kwa wizara ya vijana. Sasa hiyo wizara ndio imejibu maumivu ya raia?🤔 Huyu ana kiburi na dharau sana.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 7,943 Reaction score 15,476 Jan 16, 2026 #4 Kaua watu wengi huyo hasafishiki