Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,549
- 62,008
- Thread starter
- #21
Pia jimboni kwake, najiuliza uchaguzi mwingine utafanyika?
Lazma uchaguzi utafanyika
Pia jimboni kwake, najiuliza uchaguzi mwingine utafanyika?
Huyo hata kuwa Msaidizi wa kumfulia na kumpigia pasi nguo Kanali Nyamburi Mashauri hafai.
Arudishwe Singida akalime vitunguu na ngano, pamoja na kusimamia mabasi yake ya kwenda Mwanza.
Hahahahahahahahahahahahaaha...........Kaazi tunayo. Kesi ya mbuzi inapelekwa kwa mwenye bucha?
Kimei ni mtu sahihi sn
Okay,nimekuelewa mkuuLazma uchaguzi utafanyika
Sijasema ana elimu kubwa kuliko wabunge wote.Sasa kati ya Dk Mwigulu na Dk Kimei ni nani ana elimu ya juu kwenye swala zima la Uchumi na Biashara??? Inaonekana hujui CV ya Kimei wewe.
Kimei ndio alioitoa CRDB kutoka kuwa VIKOBA mpaka kuwa BENKI kubwa yenye faida East & Central Africa. Alipo staafu tu sasa hivi imekua ya kitapeli.
Niachieni daktari Mwigulu, Mwanasheria Msomi sanaaShemasi Mwigulu!
Huyu huyu aliyepata kura za kuunga unga!! bila usaidiezi wa tume sidhani angekuwa humo alimo.Kimei
Naam, sababu V.P huwa hana jimbo la kibunge...Pia jimboni kwake, najiuliza uchaguzi mwingine utafanyika?
😂 😂 😂Mwigulu Nchemba, ndio panamfaa
Kachagua mtu muungwana wa kauli na matendo ambae hana nia ya kuwa Rais Ili asimsumbue awe royalIla ina onyesha huyu alikuwa mtiifu kwa Mama Samia Mh Rais