Tungejadili mfumo bora na sera sahihi tu !
Tutaona mambo 2015 wengine tayari wameisha nunua ndege, iko bongo! Meeee.... Atapaaa!ZITO KABWE anafaa kuwa raisi 2015.Hana shutuma yoyote mbaya.Nikiongozi anaelipenda taifa lake
Wana Jamvi, Naomba ushauri wenu. Nani anafaa kuwa raisi wa 2015 kati ya hawa wafuatao??
CDM: Dr. Slaa, Mbowe na Zitto?
CCM: Lowassa, Magufuli, Membe na Dr. Asha Rose Migiro au Mkapa?
Tafadhali toa mawazo yako kwa mpangilio wa nani anafaa na nani anafuata kwa kila kundi
ZITO KABWE anafaa kuwa raisi 2015.Hana shutuma yoyote mbaya.Nikiongozi anaelipenda taifa lake
ccm wamweke magufuli au mwakyembe nchi isonge mbele wameshndwa sana muhongo.