Nani anafaa kuwa raisi 2015?

Nani anafaa kuwa raisi 2015?

Dubidu

Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
22
Reaction score
5
Wana Jamvi, Naomba ushauri wenu. Nani anafaa kuwa raisi wa 2015 kati ya hawa wafuatao??
CDM: Dr. Slaa, Mbowe na Zitto?
CCM: Lowassa, Magufuli, Membe na Dr. Asha Rose Migiro au Mkapa?
Tafadhali toa mawazo yako kwa mpangilio wa nani anafaa na nani anafuata kwa kila kundi
 
kwa upande wa chadema Dr.W.Slaa.hachekagi na mafisadi .
Ccm EL mzee wa mapoudaa
 
Last edited by a moderator:
Rais bora ni kutoka ccm tu wengine ni wasindikizaji
 
ZITO KABWE anafaa kuwa raisi 2015.Hana shutuma yoyote mbaya.Nikiongozi anaelipenda taifa lake
 
ZITO KABWE anafaa kuwa raisi 2015.Hana shutuma yoyote mbaya.Nikiongozi anaelipenda taifa lake
Tutaona mambo 2015 wengine tayari wameisha nunua ndege, iko bongo! Meeee.... Atapaaa!
 
Wana Jamvi, Naomba ushauri wenu. Nani anafaa kuwa raisi wa 2015 kati ya hawa wafuatao??
CDM: Dr. Slaa, Mbowe na Zitto?
CCM: Lowassa, Magufuli, Membe na Dr. Asha Rose Migiro au Mkapa?
Tafadhali toa mawazo yako kwa mpangilio wa nani anafaa na nani anafuata kwa kila kundi

acheni utani,hadi mbowe? Yule aendelee na udj tu anafaa sana
 
Mleta thread naomba waongeze hawa watu makini, SHEIKH PONDA na ILUNGA
 
Anayafaa kuwa rais ni MPINGA na MZUIA UFISADI,RUSHWA,MZALENDO
 
2ckimbilie kuangalia chama 2mwangalie m2 nawuwezo wake kisiasa 2nataka mabadilko 2015 chagua zitto kijana anaejua siasa 2mechoshwa na wazee
 
Back
Top Bottom