Koku mwanya huo. Mi hoi
Sent using my Nokia Torch
Hahahhahahahahahahaha dah nimechekaaa sana Mwanya mwanyani
Mechi iliyopita dhidi ya LESOTHO alifunga mkuu.. hata leo mchango wake goli la 2 umeonekana.
Sio kila game atascore mkuu
Kwanza anaonekana alipania sana..akajiamini kupita kiasi.. Lakini Samatta ni mzuri sana timu ikishambulia kupitia kati kuliko pembeni..ila bado alicheza vizuri.Vp Mbwana Sammata leo hakuwika kabisa?
Nami nilikuona ulikua karibu na bashite hahaaaJohn Bocco alinikosha sana jana, kwa mavitu aliyokuwa anayafanya nilielewa kwanini kuna mashabiki huwa wanavamia uwanjani. Goli la 3 aliniacha mdomo wazi, aliupiga mwingi sana akamalizia na cross matata iliyozaa goli... kwakweli anastahili kuwa nyota wa mchezo.
Wengine Erasto Nyoni jamaa katulia sana, anacheza kwa kujiamini pasi zake ni za uhakika. Kelvin Yondani aliweza kuzuia mashambulizi yote yaliyoelekezwa upande wetu vyema, pamoja na Mbwana Samatta alituonesha vitu vya Ulaya jana hahaaaaa.
Na sisi mashabiki msitusahau jamani, tuliimba na kucheza dakika zote 90 bila kuchoka
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara nyingi viungo wakabaji huwa hawapewi sifa zao kwakuwa huwa hawapigi chenga, kanzu wala kuweka madoido.
Lakini huwa wana kazi kubwa sana ya kukata mashambulizi dhidi ya timu pinzani. Na hapa ndipo ninapompa credit Erasto Nyoni. Leo ameweza kuwafanya Waganda wasipige zike pasi zao za haraka kuelekea langoni kwetu. Nyoni alikata kabisa mawasiliano ya Waganda.
Erasto Nyoni kwangu mimi ndio Man Of The Match! Nyoni leo amenikumbusha Luteni Jenerali Silas Mayunga "Mti Mkavu" jinsi alivyopambana na Waganda na utawala dhalimu wa Idd Amin Dada katika Vita Vya Kagera.
Kikosi kapanga Manara..alimuambia Amunike babu ndivyo anavyotaka..si unajua wapopo kwa ndumbaTeacher aliotea sana kuwaweka hao jamaa kwenye nafasi zao