James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Awe mzanzibari( au mvaa kanzu) au mwanamama.
Mitano tena.
Umeongea ushuzi!Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake?
Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge.
Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana uzoefu mkubwa wa kuongoza vikao vya bunge. Binafsi nimeshawahi kumuona mara kadhaa akiongoza vikao vya kamati za bunge kwa ufanisi mkubwa.
Pili, ni mtu anayekubalika na kuheshimika kwenye chama chake tawala na vyama vya upinzani.
Na mwisho, huyu mzee ni mtu mwenye busara. Kiti cha spika wa bunge kinahitaji mtu mwenye busara, hususan ukizingatia bunge ni mhimili wa malumbano hali inayopelekea wakati mwingine wabunge kupandwa na jazba. Kwahiyo, anahitajika mtu kama yeye ili kuweza kutuliza mambo.
Unakaribishwa kutoa mawazo yako. Unafikiri nani mwingine anafaa kushika nafasi ya uspika?
Ungese pro maxNafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake?
Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge.
Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana uzoefu mkubwa wa kuongoza vikao vya bunge. Binafsi nimeshawahi kumuona mara kadhaa akiongoza vikao vya kamati za bunge kwa ufanisi mkubwa.
Pili, ni mtu anayekubalika na kuheshimika kwenye chama chake tawala na vyama vya upinzani.
Na mwisho, huyu mzee ni mtu mwenye busara. Kiti cha spika wa bunge kinahitaji mtu mwenye busara, hususan ukizingatia bunge ni mhimili wa malumbano hali inayopelekea wakati mwingine wabunge kupandwa na jazba. Kwahiyo, anahitajika mtu kama yeye ili kuweza kutuliza mambo.
Unakaribishwa kutoa mawazo yako. Unafikiri nani mwingine anafaa kushika nafasi ya uspika?
Spika atatoka nje ya bunge na mama ndo atampendekeza ,believe on me brotherNafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake?
Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge.
Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana uzoefu mkubwa wa kuongoza vikao vya bunge. Binafsi nimeshawahi kumuona mara kadhaa akiongoza vikao vya kamati za bunge kwa ufanisi mkubwa.
Pili, ni mtu anayekubalika na kuheshimika kwenye chama chake tawala na vyama vya upinzani.
Na mwisho, huyu mzee ni mtu mwenye busara. Kiti cha spika wa bunge kinahitaji mtu mwenye busara, hususan ukizingatia bunge ni mhimili wa malumbano hali inayopelekea wakati mwingine wabunge kupandwa na jazba. Kwahiyo, anahitajika mtu kama yeye ili kuweza kutuliza mambo.
Unakaribishwa kutoa mawazo yako. Unafikiri nani mwingine anafaa kushika nafasi ya uspika?
Mtu mingi sana!Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake?
Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge.
Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana uzoefu mkubwa wa kuongoza vikao vya bunge. Binafsi nimeshawahi kumuona mara kadhaa akiongoza vikao vya kamati za bunge kwa ufanisi mkubwa.
Pili, ni mtu anayekubalika na kuheshimika kwenye chama chake tawala na vyama vya upinzani.
Na mwisho, huyu mzee ni mtu mwenye busara. Kiti cha spika wa bunge kinahitaji mtu mwenye busara, hususan ukizingatia bunge ni mhimili wa malumbano hali inayopelekea wakati mwingine wabunge kupandwa na jazba. Kwahiyo, anahitajika mtu kama yeye ili kuweza kutuliza mambo.
Unakaribishwa kutoa mawazo yako. Unafikiri nani mwingine anafaa kushika nafasi ya uspika?
Kama spika sio lazima awe mbunge ie enzi za Adam Sappi Mkwawa, Basi professor Assad atatufaa sana
Anaruhusiwa kugombea.Sheria ipi inayobana?Dah sema katiba inabana ila hiyo nafasi ilikuwa ima mzee wa ubwabwa aka wakili msomi, Hashim Rungwe Spunda ama Generali Ulimwengu.