BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutasafiri kwenda Nairobi kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi safari ya kikazi Nairobi kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mchepuko):
Mambo safi, wife anaenda kikazi kwenda Nairobi, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mchepuko) anamwambia mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Baby hakuna tution wiki hii so letz have some fun Bagamoyo.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Safari ya Nairobi imekufa.. nimepata appointment nyingine...
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Nairobi...
MUME (anampigia Mchepuko):
dah! mpenzi, huyu ---- haendi tena.! So hadi next time plz
Mchepuko a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi): wiki hii darasa kama kawaida sorry for the inconvinience..
MWANAFUNZI: (anampigia Sugar Dady wake yani BOSS); Darling tuition inaendelea, !!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe safari ya Nairobi iko palepale, ile appointment nyingine imevunjika........itaendelea (ruksa kuendeleza ilipoishia)
NANI ANAYECONTROL HUU MTANDAO..?
MICHEPUKO ni ishu ya kitaa kwa sasa!
cycle ni cycle haha