Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hahahaha! Mumezoea kusikia utamu wa yesu eeh! Mumshike shati mkasikie 'wadanganye na vibagia!! Haha!
hahahaha..... Mie nataka ile ngololo tai ngololo ai..!
hahahaha! Mumezoea kusikia utamu wa yesu eeh! Mumshike shati mkasikie 'wadanganye na vibagia!! Haha!
hehehehe! Mweeh! Sipati picha mtakavyojaa nyie tu!! Watoto wetu watakaa pembeni.
hahaha! Polee my dada shutu limvua daa! Ila ingeachaga kwanza hadi mtondogoo!! Mi mwenyewe imeniboa mana ndo nlitaka ntoke hivyoo!! Khaa! Kwani myamvuli si ipo?
hahahaha..... Chezea baba wengi wengi weye... Watoto wenu labda watachungulia kwenye yale matundu kwa nje
I love you
hehehee!! Mumezidi bwana waambieni wazazi wenu watumie nyota ya kijani zindukaaaaa!! Mutuache 2re starehe na siye!!
Swadaktaaaaa.......Merry Xmas